Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mhh Warumi awe na access ya bilioni 92 ndani ya shamba la bibi.Warumi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh Warumi awe na access ya bilioni 92 ndani ya shamba la bibi.Warumi?
Je,Polisi waliotumia hicho Kitoweo,sio binadamu?Boresheni maisha ya askari wetu ,badala ya kuacha wanadhalilika kwa kula vibudu!Bodi imesema nyama ilikuwa haifai kwa matumizi ya binadamu!
Usimwamini sana Zitto!Mhh Warumi awe na access ya bilioni 92 ndani ya shamba la bibi.
Hapo sasa....... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Hadi mahabusu leo wamesafaidi harudi ya nyama choma kama kweli iliteketezwaHivi moto unachomaje nyama na kuteketea?
Uliwaona wakati wanakitumia?Je,Polisi waliotumia hicho Kitoweo,sio binadamu?Boresheni maisha ya askari wetu ,badala ya kuacha wanadhalilika kwa kula vibudu!
Bangi pia hadi wasimamiwe hao au unakutaga wapo na taasisi nyingine... Wanauzaga vielelezo ahahahhaah au wanarudisha kwa mapusha wanapewa chochoteHahaha ingekuwa Bangi au vipodozi labda ila sio nyama mzee
Huu uchumi wa kati ni kwa kikundi fulani cha watu, wengi bado tuko kwenye uchumi wa chini.Usimwamini sana Zitto!
Mwenyekiti yuko Dubai utasema ni uchumi mdogo manka?Huu uchumi wa kati ni kwa kikundi fulani cha watu, wengi bado tuko kwenye uchumi wa chini.
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo woteBodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu ambayo huchukua saa sita kuungua ilichelewa na alipofika Meya wa Jiji kuchungulia akaona kuna miguu tupu bila minofu na kidali ambayo ilishateketea.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ameanza kuchukua chake mapema?Hapana ni kwa idhini ya mpwa.
incenerator hazipo kila mahali, kwa utaratibu polisi kazi yao Ni kusimamia tu Ila uteketezaji unafanywa na hao wahusika wenyewe waliokamata nyama.Hivi polisi wana hiyo mamlaka?
Hivi utaratibu wa desposal ukoje? Najua inge teketezwa kwenye insenerator. Na sio kwa makaratasi.
Wanaweza kumuuaAmeanza kuchukua chake mapema?
Mama aanzie hapo kubadili.
pia hakuna sheria au taratibu inayosema lazima mfanyabiashara awepo wakat wa uchomajiKwanini hawakwenda na wale wafanyabiashara wa nyama kushuhudia? hii issue imewakalia vibaya sana, shuhuda mmoja alisema aliwaona askari wakigawana nyama kituoni, na kwa njaa ya askari wetu kubambikia watu kesi mpaka wapewe chochote nakubaliana na shuhuda.
Ni Kama vile hospital wanavyochomaga viungo walivyokatwa watuHivi moto unachomaje nyama na kuteketea?