DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #61
Kwa mfano naweza nikakubali kupokea Bima ila ukaja Hospitali unaumwa nikakuambia hakuna Dawa nikakupa Paracetamol zingine nikakuambia kanunue nje..Ummy anakwenda kutuletea janga…hawa watu kamwe wasigandamizwe wakaendesha huduma kwa hasara kwa kutudanganya kuwa kuna maboresho wakati hayazingatii uhalisia…..! Kitakachotoea ni kwamba na wao wataanza kuwabagua wenye bima na kuwanyima dawa na kuwakatalia baadhi ya Vipimo!
Weka mfano wa wizi waliofanya mkuu..Magu alikuwa na mapungufu yake, lakini ujinga kama huu usingeweza kutokea,nhif wanamapungufu yao na hizo hospital zilikuwa zinaiibia sana nhif
Huko Umeenda mbali jiulize wale CO (Clinical officer) wa Hospitali za Rufaa za mkoa watafanyaje maana Kitita kimewatoa huko..Wale specialist wa hadi dispensary sijui watakula wapi
Hawawezi kuzifuta zote.Hospital zishikilie hapohapo mpaka wote watoke kwenye mashimo yao.
Kama wana ubavu,wazifute zote tuone.
Hamuwezi hospitali nyingi zinajiendesha kwa kuuza dawa na wagonjwa wa bima ni wengi sasa utamuuzia naniKwa mfano naweza nikakubali kupokea Bima ila ukaja Hospitali unaumwa nikakuambia hakuna Dawa nikakupa Paracetamol zingine nikakuambia kanunue nje..
Kuna vitu viangaliwe ukitumia nguvu atakayeumia ni mwananchi wa chini
Hivi ni kweli CO wapo kwenye hospitali za rufaa ? Au shughuli zao ni kuhusuka na mtuha ?Huko Umeenda mbali jiulize wale CO (Clinical officer) wa Hospitali za Rufaa za mkoa watafanyaje maana Kitita kimewatoa huko..
Ila Juzi wametoa Ajira wamewachagua kama 20 hivi
Hata hivyo hawawez kufungia ingekuwa wanaweza wangeshamfungia Aghakani maana baada ya Tamko la Ummy na yeye akatia press release..Hawawezi kuzifuta zote.
Wataifuta moja ya mfano ili kutoa mkwara wa maana halafu nyie wengine wote mnashika adabu na kutii amri kwa hofu.
Baadaye ile iliyofungwa inafunguliwa tena shwaaaaa!!!
Kwani nikuulize hospitali nyingi zilizotajwa hizo zilizogoma unajua zimeanza kupokea Bima Lini??Hamuwezi hospitali nyingi zinajiendesha kwa kuuza dawa na wagonjwa wa bima ni wengi sasa utamuuzia nani
Faida za maandamano ni kuzalisha migomo: Mama anaupiga mwingi 🤣Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali..
Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.
Wapo mzee na Juzi wamemwagwa kama njugu kwenye Hospitali za rufaa za Mikoa..Hivi ni kweli CO wapo kwenye hospitali za rufaa ? Au shughuli zao ni kuhusuka na mtuha ?
Dokta unafanya kazi wapi nije unitibu bila bima!Hata hivyo hawawez kufungia ingekuwa wanaweza wangeshamfungia Aghakani maana baada ya Tamko la Ummy na yeye akatia press release..
View attachment 2921983
View attachment 2921984
Bado kashika msimamo ule ule
Labda majukumu yao yatakuwa ya masijalaWapo mzee na Juzi wamemwagwa kama njugu kwenye Hospitali za rufaa za Mikoa..
Sasa unajiuliza hawa ndo wanataka kushindana na Hospitali za private??
Hizi ajira za juzi hawa ni baadhi tu pitia hapa
View attachment 2921989View attachment 2921988View attachment 2921987View attachment 2921986
😅🤣🤣🤣Dokta unafanya kazi wapi nije unitibu bila bima!
Soma unielewe......Tumieni akili sio mabavu! Mmeshindwa kwa hoja sasa mnataka kutumia nguvu…! Kwanini msiseme wote waende muhimbili? Kwanini serikali inataka kuwagandamiza watoa huduma kwa kigezo cha kuwasaidia wapewa huduma? Watu wengi hasa watumishi wa Umma wanakatwa pesa nyingi kwenye mishahara yao halafu mnaleta siasa! Hizo hospitali zitajiendesha vipi?
🤣🤣🤣Labda majukumu yao yatakuwa ya masijala
Sio kiujanja ujanja, ni loophole serikali kwa makosa waliiweka wenyewe bila kujua na wakachelewa kuirekebisha. Sasa muda wa kurekebisha makosa umefika, wanafanyia hasira na wenyewe kuweka mfumo mgumu ambao ni not doable.Sana hizi hospitali zinapiga hela kiujanjajanja sana haswa kwa wagonjwa wa bima
Migogoro imetokea kadhaa nikiwa na ufahamu kabisa, mfano ni ule wa kina Dr. Ulimboka, na outcomes zake tulizionaSamahani Ulikuwa na Umri gani pale Migomo ya madakatri ilipokuwa ikifanyika??
Unafahamu Kuwa Mgomo inaruhusiwa Kisheria ili kulinda maslahi ya Huduma??
Tuanze na hayo maswali kwanza
Outcome zake ilikuwa Madaktari kupandishwa mishahara na maslahi yao kuwa Juu..Migogoro imetokea kadhaa nikiwa na ufahamu kabisa, mfano ni ule wa kina Dr. Ulimboka, na outcomes zake tuliziona
Ummy is way more intelligent than you think. Hapo hakuna tatizo atapata labda kama useme situation ingekuwa kwamba Madaktari kupitia chama chao MAT, wameigomea NHIF na kitita chao kipya, ndo ingekuwa na shida ila hapo wala hamna mtu ataingilia. Zaidi zaidi anyanyue macho aziandae hospitali za serikali na shifting kubwa ya wagonjwa watakaorudi kwenye public centres kama Janabi alivyofanya Muhimbili since jana.Asipokua makini atakua chambo mtu aibuke asolve hiyo shida watu wapige makofiiii👏👏
Wana ccm wazee wa propaganda wapate ya kuzungumza wakiombea kura