Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

Ummy anakwenda kutuletea janga…hawa watu kamwe wasigandamizwe wakaendesha huduma kwa hasara kwa kutudanganya kuwa kuna maboresho wakati hayazingatii uhalisia…..! Kitakachotoea ni kwamba na wao wataanza kuwabagua wenye bima na kuwanyima dawa na kuwakatalia baadhi ya Vipimo!
Kwa mfano naweza nikakubali kupokea Bima ila ukaja Hospitali unaumwa nikakuambia hakuna Dawa nikakupa Paracetamol zingine nikakuambia kanunue nje..
Kuna vitu viangaliwe ukitumia nguvu atakayeumia ni mwananchi wa chini
 
Magu alikuwa na mapungufu yake, lakini ujinga kama huu usingeweza kutokea,nhif wanamapungufu yao na hizo hospital zilikuwa zinaiibia sana nhif
Weka mfano wa wizi waliofanya mkuu..
Nipo tayari kupokea kuuona..
Kama hujui kitu Ni bora kunyamaza unawezaji

kumuibia mtu anayekupangia bei ya kuuza,
Ukitibu anakagua Kila kitu na unatibu kwa kujaza Online bidhaa hiyo muda huo huo unapotibu, Unapata namba ya kukubaliwa kumtibu mgonjwa kwao (Authorisation number)..
Ukiandila madai yeye mdo anakagua na anaamua akulipe kipi..

Unapataje ujasiri Wa kusema private wanaibia Bima..
Nafikiri mtu kaam hujui jinsi hivi vitu vinavyofanya kazi ni bora kuuliza kwanza
 
Hospital zishikilie hapohapo mpaka wote watoke kwenye mashimo yao.

Kama wana ubavu,wazifute zote tuone.
Hawawezi kuzifuta zote.

Wataifuta moja ya mfano ili kutoa mkwara wa maana halafu nyie wengine wote mnashika adabu na kutii amri kwa hofu.

Baadaye ile iliyofungwa inafunguliwa tena shwaaaaa!!!
 
Kwa mfano naweza nikakubali kupokea Bima ila ukaja Hospitali unaumwa nikakuambia hakuna Dawa nikakupa Paracetamol zingine nikakuambia kanunue nje..
Kuna vitu viangaliwe ukitumia nguvu atakayeumia ni mwananchi wa chini
Hamuwezi hospitali nyingi zinajiendesha kwa kuuza dawa na wagonjwa wa bima ni wengi sasa utamuuzia nani
 
Hawawezi kuzifuta zote.

Wataifuta moja ya mfano ili kutoa mkwara wa maana halafu nyie wengine wote mnashika adabu na kutii amri kwa hofu.

Baadaye ile iliyofungwa inafunguliwa tena shwaaaaa!!!
Hata hivyo hawawez kufungia ingekuwa wanaweza wangeshamfungia Aghakani maana baada ya Tamko la Ummy na yeye akatia press release..
Screenshot_20240302_084305_X.jpg


20240302_084313.jpg


Bado kashika msimamo ule ule
 
Hamuwezi hospitali nyingi zinajiendesha kwa kuuza dawa na wagonjwa wa bima ni wengi sasa utamuuzia nani
Kwani nikuulize hospitali nyingi zilizotajwa hizo zilizogoma unajua zimeanza kupokea Bima Lini??
 
Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali..

Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.

Faida za maandamano ni kuzalisha migomo: Mama anaupiga mwingi 🤣
 

Attachments

  • 5647444-f101e91bbf9da9f211913ffa04d43747.mp4
    6.8 MB
Hivi ni kweli CO wapo kwenye hospitali za rufaa ? Au shughuli zao ni kuhusuka na mtuha ?
Wapo mzee na Juzi wamemwagwa kama njugu kwenye Hospitali za rufaa za Mikoa..
Sasa unajiuliza hawa ndo wanataka kushindana na Hospitali za private??

Hizi ajira za juzi hawa ni baadhi tu pitia hapa

Screenshot_20240228_141405_GBInstagram.jpg
Screenshot_20240228_141416_GBInstagram.jpg
Screenshot_20240228_141430_GBInstagram.jpg
Screenshot_20240228_141519_GBInstagram.jpg
 
Tukiweza kutenganisha Taaluma za Watu na Wanasiasa huu mvutano utakwisha.

Jiwe enzi zake alikuwa na lengo la kuua Hosp zote za binafsi pamoja na Shule. Kikwazo kikibwa alichokumbana nacho ni kwamba shule nyingi pamoja na hospt ziilikuwa zikimilikiwa na Taasisi za Kidini.
 
Tumieni akili sio mabavu! Mmeshindwa kwa hoja sasa mnataka kutumia nguvu…! Kwanini msiseme wote waende muhimbili? Kwanini serikali inataka kuwagandamiza watoa huduma kwa kigezo cha kuwasaidia wapewa huduma? Watu wengi hasa watumishi wa Umma wanakatwa pesa nyingi kwenye mishahara yao halafu mnaleta siasa! Hizo hospitali zitajiendesha vipi?
Soma unielewe......
Unanijibu kama mimi ni NHIF au Serikali.
Mimi ni mlalahoi tu.
 
Sana hizi hospitali zinapiga hela kiujanjajanja sana haswa kwa wagonjwa wa bima
Sio kiujanja ujanja, ni loophole serikali kwa makosa waliiweka wenyewe bila kujua na wakachelewa kuirekebisha. Sasa muda wa kurekebisha makosa umefika, wanafanyia hasira na wenyewe kuweka mfumo mgumu ambao ni not doable.
 
Samahani Ulikuwa na Umri gani pale Migomo ya madakatri ilipokuwa ikifanyika??

Unafahamu Kuwa Mgomo inaruhusiwa Kisheria ili kulinda maslahi ya Huduma??

Tuanze na hayo maswali kwanza
Migogoro imetokea kadhaa nikiwa na ufahamu kabisa, mfano ni ule wa kina Dr. Ulimboka, na outcomes zake tuliziona
 
Asipokua makini atakua chambo mtu aibuke asolve hiyo shida watu wapige makofiiii👏👏
Wana ccm wazee wa propaganda wapate ya kuzungumza wakiombea kura
Ummy is way more intelligent than you think. Hapo hakuna tatizo atapata labda kama useme situation ingekuwa kwamba Madaktari kupitia chama chao MAT, wameigomea NHIF na kitita chao kipya, ndo ingekuwa na shida ila hapo wala hamna mtu ataingilia. Zaidi zaidi anyanyue macho aziandae hospitali za serikali na shifting kubwa ya wagonjwa watakaorudi kwenye public centres kama Janabi alivyofanya Muhimbili since jana.
 
Back
Top Bottom