DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #61
Kwa mfano naweza nikakubali kupokea Bima ila ukaja Hospitali unaumwa nikakuambia hakuna Dawa nikakupa Paracetamol zingine nikakuambia kanunue nje..Ummy anakwenda kutuletea janga…hawa watu kamwe wasigandamizwe wakaendesha huduma kwa hasara kwa kutudanganya kuwa kuna maboresho wakati hayazingatii uhalisia…..! Kitakachotoea ni kwamba na wao wataanza kuwabagua wenye bima na kuwanyima dawa na kuwakatalia baadhi ya Vipimo!
Kuna vitu viangaliwe ukitumia nguvu atakayeumia ni mwananchi wa chini