Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

Mkuu tuwekee hapa portfolios za Russia na Space X kuhusu accomplishments zao kwenye masuala ya anga tulinganishe kuondoa mashaka yoyote.
Mkuu tuwekee hapa portfolios za Russia na Space X kuhusu accomplishments zao kwenye masuala ya anga tulinganishe kuondoa mashaka yoyote.

Ngoja tusubiri hiyo portfolio ya mwamba
 
Nilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.
Huyu mwamba sijui Russia alimkosea nin
Roscosmos haziwezi kuwa option zaidi ya SpaceX kuwarudisha hao astronauts waliokwama.

Boeing ndio mara yao ya kwanza kusafirisha astronauts, wameshindwa sababu ya wasiwasi wa kiusalama wa NASA basi inasubiriwa ratiba ya SpaceX. Warusi Soyuz yao ina 3 seats wakati Boeing na SpaceX wote wana 4 seats. Sasa Soyuz inarudi na watatu, wanabaki wawili angani, inabidi SpaceX ikija ilete wawili badala ya wanne iache wazi 2 seats za hawa waliokwama. Sasa Soyuz ya Warusi inakaaje kwenye huo mlinganyo?
 
Nilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.
Wewe uliye +ve na tech ya Mrusi tueleze kwanini Soyuz ya Roscosmos iwalete hao astronauts wa NASA ambao itabidi wakae kwenye space mpaka February mwakani.

Au tueleze mbona Warusi wawili kwenye space wamekaa mwaka wanatoka September hii, ila astronauts wawili wa NASA walioenda June mwaka huu mnalalamika hawarudi as if NASA hawajui wanachokifanya. Hata miezi sita hawajamaliza ambayo ndio muda wa kawaida kukaa kwenye ISS. Walienda kutests Starliner, leo kama saa tano hivi imerudi duniani na autopilot.

Kilichotokea hapa ni uwazi na concern kubwa ya NASA kwa watu wake. Hao astronauts ni test pilots wa Starliner ya Boeing, ni mara ya kwanza sio matured tech kuwa na glitches kawaida. NASA imeona haina haja kukurupuka kuwabananisha hao wawili waje kwenye Soyuz ambayo ina nafasi ya watu watatu na bado huwa ni finyu ndani. Hakuna hatari, hakuna uharaka wa kufanya hivyo.

Marekani ina option badala ya Boeing itumie SpaceX. Mbona mwaka jana astronauts walikaa zaidi ya mwaka uko kusubiri Soyuz nyingine itoke duniani baada ya iliyokuwa docked kupigwa na kimondo. Mnafanya as if wapo kule wanapiga yowe kuomba msaada.
 
Hii kampuni ya Boeing ingekuwa ni ya China ungeona media za Magharibi jinsi zingeikosoa na ingekuwa imeshapigwa ban kwao kwa sababu za kiusalama
Mkuu Boeing inakosolewa sana kwenye media za Magharibi. Tena FAA imeshambuliwa sana kutokuwa na usimamizi makini wa Boeing. Tuhuma za FAA kuajiri wadhibiti (technical inspectors & regulators) toka Boeing zimejadiliwa sana.

Mushkeli wa Boeing Starliner spacecraft umejadiliwa sana na unaendelea kuzungumziwa.

Unachoweza kulalamikia ni Boeing kutopigwa ban huko US na Ulaya Magharibi. Lakini sio kuhusu media za Magharibi kutoikosoa Boeing au utendaji mbaya wa taasisi ya serikali inayosimamia masuala ya anga (FAA).
 
Nafikiri huu ni mtazamo au maoni yako tu
Ungeweka sababu ingekuwa uhalisia au ukweli (fact or truth).
Tazama pace ya projects. Hii hapa ya Boeing iliyofeli ni capsule yao ya kwanza wanafanya majaribio na hao astronauts wawili ni test pilots.

Sasa Urusi anayo wapi service kama ya Starlink au reusable rocket kama ilivyo Falcon 9 ambayo ni reusable. Angara ndio rocket yao mpya ya kuistaafisha Soyuz-2 ila bado sio reusable.

Soyuz-7 ndio itakuwa reusable na iko kwenye development ila hata prototype hawana. Kama kawaida ya miradi yao watachelewa vibaya hawa. Soyuz-7 itakuwa na Angara wawe nazo mbili. Of course Marekani itaistaafisha ISS na ushirikiano wa Urusi na Marekani unaisha hapo, probably 2031. Kila mtu ataanza kushinda mechi zake sasa, Mrusi atakuwa amezidiwa na Mchina parefu.
Mfano kwa sasa Urusi haijafanikiwa kurudi mwezini, wamekaa miaka 47 baada ya kutua mwezini vizuri ila mwaka jana wameshindwa. India mwaka jana imetua mwezini. Urusi pale legacy ya USSR kwenye anga imeisha.
 
Boeing mpaka aibu sjui kwa nn walijiingiza kwenye usafir wa anga za mbali
Aibu gani wakati ndio capsule yao ya kwanza? Ni kina nani hawajawahi pata makosa kwenye teknolojia ya anga za mbali.

Au ni kampuni gani unaona inaifanya Boeing isikie aibu, ukiachana na SpaceX. Jambo linafanywa na kampuni mbili duniani alafu unasema moja inatia aibu.
 
Back
Top Bottom