Le professel
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 636
- 960
Nilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.SpaceX ndio itawatoa. Yenyewe peke yake ina accomplishments kuliko Urusi nzima kwenye anga kwa sasa.
Mkuu tuwekee hapa portfolios za Russia na Space X kuhusu accomplishments zao kwenye masuala ya anga tulinganishe kuondoa mashaka yoyote.
Mkuu tuwekee hapa portfolios za Russia na Space X kuhusu accomplishments zao kwenye masuala ya anga tulinganishe kuondoa mashaka yoyote.
Huyu mwamba sijui Russia alimkosea ninNilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.
Huenda atakuja tuwe na subiraHuyu mwamba sijui Russia alimkosea nin
Nilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.
Roscosmos haziwezi kuwa option zaidi ya SpaceX kuwarudisha hao astronauts waliokwama.Huyu mwamba sijui Russia alimkosea nin
Wewe uliye +ve na tech ya Mrusi tueleze kwanini Soyuz ya Roscosmos iwalete hao astronauts wa NASA ambao itabidi wakae kwenye space mpaka February mwakani.Nilikuwa nasubiri comment kama hii anyways, sijawahi kuona ukiwa positive linapokuja suala la tech ya mrusi.
Mkuu Boeing inakosolewa sana kwenye media za Magharibi. Tena FAA imeshambuliwa sana kutokuwa na usimamizi makini wa Boeing. Tuhuma za FAA kuajiri wadhibiti (technical inspectors & regulators) toka Boeing zimejadiliwa sana.Hii kampuni ya Boeing ingekuwa ni ya China ungeona media za Magharibi jinsi zingeikosoa na ingekuwa imeshapigwa ban kwao kwa sababu za kiusalama
Nafikiri huu ni mtazamo au maoni yako tuRussia hata uwape miaka 15 hawakupi rocket kama Falcon 9 ya SpaceX. Wala hawakupi mshindani wa Starlink
Sidhani kama atakuwekea!Nafikiri huu ni mtazamo au maoni yako tu
Ungeweka sababu ingekuwa uhalisia au ukweli (fact or truth).
Tazama pace ya projects. Hii hapa ya Boeing iliyofeli ni capsule yao ya kwanza wanafanya majaribio na hao astronauts wawili ni test pilots.Nafikiri huu ni mtazamo au maoni yako tu
Ungeweka sababu ingekuwa uhalisia au ukweli (fact or truth).
Soyuz haina nafasi ya kuwabeba hawa wawili. Inarudi na watatu tuSoyuz capsule ya Mrusi ni uhakika. Nasa walipie siti Russia itume chombo.
NASA mshirika wao mkubwa ni Russia.Umesema vyema
NASA na Boeing waache ego naamini wakishirikiana na China watawanasua astronauts wao mapema
Sasa Urusi anayo wapi service kama ya Starlink au reusable rocket kama ilivyo Falcon 9 ambayo ni reusable
Sawa nakubaliana na future tense yakoChina inaweza kucompete na Marekani kwenye hizo tech
Ningeshangaa kama hii comment ingekosekana.ni mwanamke na mwanaume wameachwa wenyewe huko angani? Kuna leba ya kujifungulia huko?
Aibu gani wakati ndio capsule yao ya kwanza? Ni kina nani hawajawahi pata makosa kwenye teknolojia ya anga za mbali.Boeing mpaka aibu sjui kwa nn walijiingiza kwenye usafir wa anga za mbali