Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

Hawa Americans walienda kutest capsule mpya ya Boeing ili warudi nayo kutoa technical analysis. Hawajarudi nayo imekuja na autopilot, wao uharaka unauona wapi. NASA waseme hawana haraka, wewe na makoti yako vichochoroni udai wana haraka?
Kwa nini Boeing Starline na haijarudi na astronauts wao ambao walienda mwezi June na walitakiwa wakae huko kwa siku 8 tu na sasa tuko September?

Shida iko wapi semaji la NASA?

Kwa nini Boeing na NASA waende kuomba msaada kwa SpaceX?

Kwako semaji la NASA
 
Una mahaba Niue sana na USA kiasi kwamba unaamini hakuna tech nchu zingine na kwa kufanya hivyo uakuwa kipofuu japo unaona. Kama mission ilikuwa siku 8 halafu ikawa zaidi ya hizo siku maana yake ni failed mission , kama Warusi mission yao ni mwaka na wamalize miaka miwili maana yake wamefeli . Halafu tech haiwezi kulinganishwa kwa kutangulia. Ulinganisho ni sasa. Mfano Africa ilikuwa na tech ya uhandisi huko Cairo lkn sasa Cairo iko wapi?
 
Pole lengo la uzi sio kuzungumzia Afrika

Huna sasa moral authority ya kuzungumza chochote cha kiufundi duniani

Huna uwezo hata wa kumwaga zege la chini la nchi 6, mpaka umwite Mchina akujengee UDART, unaanza anzaje kukosoa ufundi wa BOEING ? Watu ambao walijua lolote linaweza kutokea angani, wakawa na mkakati wa kuwalisha wana anga miezi nane kwa safari ya siku nane, sisi na kamasi zetu kichwani tunaanza anzaje kuwakosoa ?
 
SpaceX ndio itawatoa. Yenyewe peke yake ina accomplishments kuliko Urusi nzima kwenye anga kwa sasa.
Unaongea haya kwa sababu huijui Russia.. nakwamuaa video nyingi zimeionesha Nasa na spaceX mtandaoni.. Russia katika mambo ya Anga yupo Vizuri sana .

Na hiyo ISIS sehemu kubwa anaicontrol Russia katika kuhakikisha chombo kinabaki kwenye orbit yake na upande wa matengenezo.. na Kuna kipindi iliwabidi wamarekan hao waends Russia wakapandie ndege huko .


YouTube's twitter na western media zinakuaminisha wao ni bora sana wakati Kuna Russia anafata china..


Sini umeona hiyo dude la wachina huko Anga? Wamelitengeneza likjwa kubwa na Bora zaidi .
 
Kwa hoja yako hiyo ni wazi Hiace ni gari Bora zaidi ya Land Cruiser Prado kwa sababu Hiace ina siti nyingi zaidi ya Prado
 
Kwa hoja yako hiyo ni wazi Hiace ni gari Bora zaidi ya Land Cruiser Prado kwa sababu Hiace ina siti nyingi zaidi ya Prado
Achana na ukonda wa daladala. Eleza mlinganyo wa Soyuz kuwaleta 2 astronauts ni upi.

Mlinganyo sahihi uliopo ni SpaceX kwenda kuwaleta. Badala ya kugeuza Kiswahili kwa vile umepinga, eleza Soyuz inawarudishaje hao badala ya SpaceX na kila kitu kiende sawa uko ISS.
 
Russia na Marekani waligawana majukumu kwenye ISS. Wamarekani kwenda Baikonur cosmodrome kupanda rocket ilikuwa ni sehemu ya jukumu la Russia.

Nilidhani utabisha kwamba SpaceX haiizidi Russia kwa sasa kwenye kila inachogusa. Hakuna kitu kinafanywa na SpaceX kampuni binafsi ya Marekani, kinazidiwa na Roscosmos shirika la anga la Urusi. Bado hatujagusa projects zote za NASA.
 
Bado hamjajibu swali mnaleta ngonjera.

Ni kwa namna gani Soyuz itawaleta hao astronauts wawili badala ya wao kusubiri February waletwe na SpaceX?
Wote mnakwepa hili swali langu.

Tunaenda tena. Mna mnataka kudai China anamzidi US kwenye space tech. Anamzidi nini?

Nimeishawaeleza. Marekani katangulia reusable rocket, katangulia Starlink internet, katangulia kuwa na kampuni mbili binafsi zinazoshiriki kwenye space, lunar landing katangulia, China iko inajitutumua kupeleka binadamu mwezini miaka 60 baada ga Marekani kwenda, China kajenga space station miaka 23 baada ya wenzake.

Sasa China anamzidi nini Marekani? Badala ya ngonjera leta hoja. Mnawezaje kusema anamzidi kila kitu anatanguliwa? China ndoto zake ni kufanya kama Marekani
 
China wanalala wanawaza ndoto za Marekani. China haijawahi shindwa wakati ina missions chache na inategemea kufundishwa na kuwekewa standard. Sasa unashindwa vipi kama una mentor
 
Humu kuna watu wa facts na mahabba ebu tupunguzieni mahaba tuekeeni facts ili tuelimike
 
Suala sio gap la miaka mingapi suala ni kuwa na technological independence kwenye tech ya kufanya jambo fulani

Mbona China imefika moon's far side ambako Mrusi na Mmarekani hawajawahi kufika
Kufika far side ya moon kitu gani we bwana. Mwezi si upo 384,000 km kutoka duniani?

Sasa Marekani katuma Voyager 2 iko umbali wa kilomita bilioni 20 kutoka duniani. Mchina bado anapitia notisi aje anakiri.

Subiri kwanza Mchina akanyage kwenye ardhi ya mwezini miaka ya 2030s uko wakati Marekani kafanya kwenye 1960s.
 
Yeye China space station yake amemleta nani pale? Naye tuseme ana wivu?

Mnachukulia space program kama sherehe za ngoma kwamba yeyote unamleta tu aje kulewa ulanzi. Mnaleta Uswahili kwenye mambo ya msingi😂
Kuna nchi iliyoomba ikanyimwa hata marekani amekaribishwa .lakini hiyo aibu ataificha wapi na uropean Union
 
China wanalala wanawaza ndoto za Marekani. China haijawahi shindwa wakati ina missions chache na inategemea kufundishwa na kuwekewa standard. Sasa unashindwa vipi kama una mentor
Waambie Boeing wakajifunze kwa China jinsi ya kuacha mchezo wa kurudisha capsule na kuacha astronauts.

Sio kosa lako ni vile haujui missions za China inapohusu space exploration

Space race kati ya China na Marekani ni kubwa sana
 
Sasa Marekani katuma Voyager 2 iko umbali wa kilomita bilioni 20 kutoka duniani. Mchina bado anapitia notisi aje anakiri.
Kwamba Mchina atashindwa?

Mbona ametuma Zhurong rover kwenye sayari ya Mars (400million km)

Kila shirika na taifa lina kipaumbele chake kwenye hizi missions.
 
Wana msosi wa kufikia mpaka mwezi wa pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…