Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

Sasa mkuu SI usubirie wafungue utupe marejesho uliokamilika!
 
Vipi bado halijafunguliwa tu hadi muda huu?
 
Polisi wamekuja na difenda kisa hilo sanduku wakati angekuja poti mmoja tu na bodaboda, wamesema wamekuta mguu wa kitanda mmoja.
HIlo sanduku lingefunguliwa tu kienyeji halafu kukawa na Bomu humo na likaua watu,mngekuja kuanzisha nyuzi humu za kuwasema Polisi,

Polisi hua zina taratibu zao za kudeal na vitu vya aina hiyo,

Ni ajabu kuona kila mtu anataka Polisi wafanye anavyotaka yeye!
 
Watu wengi wanaodhani wana akili nyingi wanabeza ila mimi nataka kujua humo ndani mna nini, mtoa mada usiacha kutupa updates tafadhali
my friend jf binadam wa humu ni wengne tofauti yaan ni much know kuzidi maelezo. Hadi mtu anashndwa kutoa taarifa iliyokamilika. Yaan wanakera ni basi tu.
 
Hayo ma hox ni miongoni mwa yanayoleta vipuri (spare kutoka nje) hivyo dereva jamaa alibeba akashindwana na dereva guter akalibwaga hapo katimka zake kwa kushindwana bei halina kitu zaidi ya vi miguu vya kitanda (yale matendegu kama ya sofa)
WBobgo acheni woga
 
Waungwana habari ya box la ajabu,kwani lilikuwa na mbawa na kuruka au miguu na lilitembea au japo kutambaa?
 
Watu wawe busy nane nane iwe na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…