Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

Kwahiyo hapa ndio mjini daslama?
Na Hawa ndo wa daslama?
Duh !ngoja tuendelee kuwalimia viazi tuuh hapa isyonje!?
Hao unaowaona wanashangaa shangaa box wameleta ndizi na magimbi kutoka Kiwira.
Wenye mji wao hawapo hapo.
 
Hao unaowaona wanashangaa shangaa box wameleta ndizi na magimbi kutoka Kiwira.
Wenye mji wao hawapo hapo.
Okeeey!kwakusema Ivo unamaanisha hata ilo boksi/ sanduku tumekuja nalo sisi wa mkoani?
Hata ayo maji machafu hapo tumesafiri nayo kwenye Basi kuyaleta hapo mkuu?!
 
Okeeey!kwakusema Ivo unamaanisha hata ilo boksi/ sanduku tumekuja nalo sisi wa mkoani?
Hata ayo maji machafu hapo tumesafiri nayo kwenye Basi kuyaleta hapo mkuu?!
Box mmekuja nalo, box wamebebea mbuzi katoliki kutoka mkoaniπŸ˜‚
Maji machafu yaliyopo eneo la Mwenge yamesababishwa na ujenzi barabara za mwendokasi zinazoendelea kujengwa mahali hapo.
Barabara ya Sam Nojuma imefumuliwa inajengwa njia 6 zikiwemo mbili za mwendo kasi na Bagamoyo road inajengwa njia 6 zikiwemo 2 za mwendokasi.
Hivyo mkandarasi anaendelea kumalizia ujenzi wa mifumo ya maji taka na njia za waenda kwa miguu.
 

Mkoa wa Dar es Salaam ni Mkoa unaoongoza kuwa na hekaheka nchini Tanzania kuliko Mikoa yote hapa Nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…