Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

Nakuhurumia sana wewe ni kama mgonjwa wa tb anaumwa anasema haumwi anaendelea kuvuta sigara unaokota habari youtube za propaganda labda wazalamo was tandale ndio wanakuelewa.


Hii habari ndio inawaumiza sana

Mzozo wa Ukraine: Raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulizi mapya ya Urusi​

View attachment 2422730
geCopyright: ge
Theluji imeanguka nchini Ukraine ambapo baadhi ya watu hawawezi kupasha moto nyumba zao kutokana na mashambulio ya vituo vya nishati.Image caption: Theluji imeanguka nchini Ukraine ambapo baadhi ya watu hawawezi kupasha moto nyumba zao kutokana na mashambulio ya vituo vya nishati.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulio mapya ya makombora yaliyofanywa na Urusi.
kawaida yenu mnapingaga mwanzon baadae mnakubali , akili zenu mnazijua wenyew
 
Mbona sijaona Waruasi Millioni Moja kukosa Gesi.

Nimeona hilo Bomba linahudumia "hundreds to Thousands Of homes"

Nimeona:
"Power officials were seeking alternative supplies at the power station near St Petersburg, Putin's home city."

UMEELEWA AU AU STANDARD 7 Leaver wewe?
dalili za ukichaa zinakunyemelea , baadae mtakubali ooh haitarudia tena [emoji23][emoji23]
 
Mkuu katika hili nitakuwa tofauti kidogo na wewe. Haiwezekani NATO wakafanya hivyo maana Article 5 inasema wazi NATO itaivamia kijeshi moja kwa moja nchi itakayoishambulia mshirika wao yeyote yule. Hapo unaweza kuona utofauti uliopo kati ya kushambulia pipe ya gas na kuvamia kijeshi adui.

Kingine pia NATO ilishatoa tamko la kujiridhisha kuwa shambulio la Poland halikufanywa na Urusi na kuyatoa majeshi ya NATO on alert zile siku tatu baada ya lile shambulio.
Na Iraq akivamiwa kwa article ipi ?
 
Hivi kiongozi Waislamu wapo pamoja na Russia kwani?!!!!! Maana katika hoja zako hukomi kutoa maneno fulani yenye viashiria vya kuisakama hiyo dini. Au we ndo walewale?!!!
Waislam ndo wanaongoza kwa kusapoti ugaid wa Putin na wakitoka hapo wanadai wao si magaidi bali mabeberu wanawachafua tu
 
Sijakutana hata na mmoja kati yenu hamshabikii Putin, amekua kama mtume kwenu, eti kisa mnadhani mnakomoa Marekani.
kituko waislam wanaish kwa uhuru wakiwa Marekan kuliko wakiwa Russia , in Russia unafuata utaratibu wao na sio kuwapeleka tabia za mtume
 
Alafu bomba likilipuka sio inshu maana unatoa kipande unaweka bomba jipya.wiki moja tu inatosha kufanyika iyo kazi.inshu kubwa ukikatiwa gesi yenyewe basi hapo kifo unakiona kipo karibu yako

Haina noma bwana mohammed789 ila mapigo yako pale pale...
 
Wala sio swala la imani, usipotoshe.....ni suala la uongeaji wenu we na huyo mwenzio ndiyo linalotaka kutuhitimishia hivyo. Hebu tuhitimishe kwa kuleta picha na hata threads za ushahidi wa upinde wa mvua, km upo tayari ili tujue haswa ni wapi huko kiakili kunaweza kusemwa kuko vema hadi kufikia KURASIMISHWA!
Zero IQ
 
Back
Top Bottom