Nakuhurumia sana wewe ni kama mgonjwa wa tb anaumwa anasema haumwi anaendelea kuvuta sigara unaokota habari youtube za propaganda labda wazalamo was tandale ndio wanakuelewa.
Hii habari ndio inawaumiza sana
Mzozo wa Ukraine: Raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulizi mapya ya Urusi
View attachment 2422730
geCopyright: ge
Theluji imeanguka nchini Ukraine ambapo baadhi ya watu hawawezi kupasha moto nyumba zao kutokana na mashambulio ya vituo vya nishati.Image caption: Theluji imeanguka nchini Ukraine ambapo baadhi ya watu hawawezi kupasha moto nyumba zao kutokana na mashambulio ya vituo vya nishati.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulio mapya ya makombora yaliyofanywa na Urusi.