Bomoabomoa yaacha simanzi Mabwepande, nyumba za matajiri zaachwa

Sasa eneo ni la nssf, vigogo wako pembeni.
Sasa hilo lililovunjwa ni mali ya nssf na syo la wavamizi, sjui nikuelewe kuwa wavamizi wanayo haki kuvamia eneo la nssf au matajiri wame influence[emoji45][emoji45][emoji45]
 
Elewa nilichoadika, mijengo ya maana haijavunjwa kokote, iwe ni nssf au hilo eneo lingine
 
Usiwaamini sana, machinga wote barabarani wamerudi, pale Azam, bahati aliwahi kuweka ki-uzio cha kuweka bustani, ila akizubaa , jamaa wanaingia mpaka pale, nani anajali?

Wako bize kulamba, toa asali u-survive wanasema
 
Sasa eneo ni la nssf, vigogo wako pembeni.
Sasa hilo lililovunjwa ni mali ya nssf na syo la wavamizi, sjui nikuelewe kuwa wavamizi wanayo haki kuvamia eneo la nssf au matajiri wame influence[emoji45][emoji45][emoji45]
Unatetea ujinga mno
 
Walioachwa ni kuwa wanahitajika kupimiwa na kuuziwa
 
Husikii wanaharakati uchwara wakipigia kelele hii ishu ila wakati wale wamasai wanahamishwa kule Ngorongoro Kelele zilikua Kila kona. Ubaguzi? Siasa? Au wanaangalia wapi watapata political mileage zaidi?
 
Tafuta pesa , the world aint fair.
 
Husikii wanaharakati uchwara wakipigia kelele hii ishu ila wakati wale wamasai wanahamishwa kule Ngorongoro Kelele zilikua Kila kona. Ubaguzi? Siasa? Au wanaangalia wapi watapata political mileage zaidi?
Huwa wanapigia kelele anayewahonga
 
Kaa kwa kutulia
Unakumbuka waliobomolewa nyumba zao Kimara?

Unakumbuka watu wa Mwanza walikingiwa kifua kwa sababu kuna mtu walimpigia kura?
Unakumbuka yote hayo?
Tulia kabisa
Kimara ulitaka hiyo barabar ipite juu ya nyumba zao? Kimara nyumba za matajiri ziliachwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…