Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Kuna post ilikuwepo jana nimeisaka sijaiona. Ilikuwa ni comment sikumbuki hata ya nani lakini baadhi ya maneno yalikuwa kuwa kesho itakuwa siku ya shetani. CCM wameamua kumwaga damu sana... sikumbuki mengine. Kama mtu anaweza ipata itasaidia uchunguzi Pls msaada: Buchanan Moderator
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi huu hautovumilika!!!! Magazeti yaliandika hivi karibuni juu ya makambi ya kigaidi ya ccm hakuna vyombo vya serikali vilivyochukua hatua, naona hii kitu imepangwa na ccm na serikali yake!!!! ifike mahali akina Mwigulu wakionekana wapigwe mawe!!! damu kwa damu!!! Tumechoka na ujinga huu!!!
 
CCM = Chama Cha Magaidi!!!
CCM wameamua ku-terrorize wananchi kwa kuwaua kwa mabomu ili waogope kujitokeza kupiga kura! Pia waogope kuhudhuria mikutano ya Chadema. Na kisha Chadema ipakwe kinyesi eti ni chama hatari cha magaidi. Na mbaya zaidi ili wapate kisingizio cha kumtaka msajili wa vyama vya siasa aifute Chadema! Mungu tusaidie!!!
 

Labda kama wewe ndiye utafanya huo uchunguzi lakini kama ni vyombo vya ulinzi vya serikali ya ccm usishangae kuambiwa hilo ni bomu la kutengenezwa na wavuvi wa samaki!
 
Tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake maana humu kila mtu anaongea la kwake ambalo halina ushahidi wa kutosha. Inawezekana kuna kikundi kinachojihusisha na maswala haya ya ulipuaji wa mabomu mjini Arusha.

Vyombo vya usalama vya nchi gani???!!! usitoe comment vile tu unaweza kubonyeza keyboard!!! Kuuawa kwa Padre Mushi uchunguzi gani umezaa matunda? Bomu la Arusha Kanisani nani katiwa hatiani? na mengine mengi!!!
 
mkuu huwezi kudanganya watu wazima na maneno yako ya kichochezi wewe lazima utakuwa umehusika na mpango mzima nyie mnaujua mmetumwa kuja kutuhadaa unajifanya unahasira za kinafiki mnapanga maujia unajifanya kumtaja mwigulu na kwa nini umemuona mwigulu tu kama huna lako jambo dhidi ya mwigulu.
 
Vyombo vya usalama vya nchi gani???!!! usitoe comment vile tu unaweza kubonyeza keyboard!!! Kuuawa kwa Padre Mushi uchunguzi gani umezaa matunda? Bomu la Arusha Kanisani nani katiwa hatiani? na mengine mengi!!!

we mpaka leo hujui mtu aliyetiwa mbaloni kwa bomu la arusha kwa taarifa yako chama chako ndicho kinahusika na kuandaa mpango wa kuripua kanisa ngoja kesi ianze na yule kijana aanze kuongea mpango wote hizo sura sijui mtazificha wapi.
 
we mpaka leo hujui mtu aliyetiwa mbaloni kwa bomu la arusha kwa taarifa yako chama chako ndicho kinahusika na kuandaa mpango wa kuripua kanisa ngoja kesi ianze na yule kijana aanze kuongea mpango wote hizo sura sijui mtazificha wapi.

naona unaongea kwa kutojua michezo michafu ya CCM!!! huyo kijana ni gaidi wa CCM (Green Guard) ila atakuwa amefundishwa kuisingizia Chadema endapo atakamatwa! Ni mpango mahususi ulioratibiwa na Mwigulu ili mwisho wa siku ionekane Chadema ni chama cha fujo ili haya yafuatayo yafanyike. Moja, kupiga marufuku mikutano na makusanyiko yote ya Chadema. Mbili, kumshinikiza msajili wa vyama vya siasa (ambaye ni mtu wao yaani huyo Tendwa) aifute Chadema! Why all these nosenses. CCM wana hofu ya kuangushwa katika uchaguzi wa 2015 hivyo wanapanga kila mbinu ama kuifuta kabisa Chadema au kuidhoofisha kabisa kisiasa kabla ya 2014/2015!!!
Halafu wambie wanaokutuma kwamba tumeshawafahamu!!! Hebu malizia usingizi wako maana bado mtoto katika medani ya kiintelijensia kuweza kubaini mambo makubwa!
 
chadema hawahitaji huruma arusha!
 
Nashauri Bendera za CHADEMA Zipepee Nusu Mlingoti Tanzania nzima kuwakumbuka wapigania ukombozi waliopoteza maisha yao Jana Arusha. RIP MAKAMANDA MBELE MMETANGULIA SISI NYUMA YENU. Hakika Damu yenu itaendelea kudai ukombozi katika ardhi ya Tanzania!
 
uhusika wa ccm upo wazi! Mwigulu amejitolea/amewekwa mstali wa mbele tu
 
To ALL DEMOCRATIC ACTIVISTS : THIS IS A TYPICAL TERRORISM DONE TO INNOCENT CIVILIANS. Terrorist acts result in destruction. The effects are more extensive than just physical damage and include diverse collateral consequences. Terrorism works because of the psychological effects that can immobilize individuals and entire populations that feel vulnerable. This feeling of vulnerability is enhanced when the people feel excluded from the process and active participation.

To my fellow Tanzanians; this is 'NOT ACCEPTABLE' whoever planned or organized the attacks should be mentioned an appropriate measures to be taken.

This is extremely shame-prone situation happened to a church few days ago, now to CDM in the same region?. This kind of tactics and action purposely planned to suppress and undermine opposition parties is an old fashion style, should be zero-tolerant and mostly it does not help any patriot Tanzanian. Because, the general economic impact of terrorism diverts resources and undermines economic stability.

I just want to encourage ALL DEMOCRATIC ACTIVISTS not to lose heart or be discouraged. "FREEDOM IS COMING 2MMOROW"
 

Unawazimu; wanaokaa Arusha ni wachaga peke yao? Hii ni wazi umefunikwa wimbi la ukabila; na kwanini iwe CCM; inawezekana mkuu wa usalama yupo ndiye anayeratibu mipango yote; CCM ndiyo serikali uiuwe watu wasio na hatia kwasababu ya viti 4 vya udiwani ili iweje? Yaani ijapake matope yenyewe kwa lipi hasa?

cc Ritz; Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
Kufuatia kauli zake alizozitoa Arusha kuhusu mauaji, mwigulu anaweza kusaidia kujua bomu ktk mkutano wa CHADEMA ni nani kahusika. ukimfuatilia mwigulu utagundua mengi ktk kauli zake na matendo yake
 
Bomu limerushwa. Watu wakaanza kufa, Raia waliomwona mrushaji wa bomu wakamkamata wakaanza kumpa kichapo, Polisi kwa kutekeleza kwa mpango waliokwishakuufahamu wakapiga mabomu ili kumnusuru muuaji
 
Nani sasa amuhoji Mwigulu wakati hao polisi WA kumhoji ndo kapanga nao mauaji?
Labda waje Scotland Yard maana FBI wamenunuliwa na Kikwete
 
Nchemba ndo anayepanga nani ahojiwe nani aachwe!, anajua hadi idadi ya wajumbe wa tume ya uchunguzi na majibu watakayo toa anayo!. Nani wa kumhoji?
 
Hautpaswi kukimbilia jibu kuwa ni chama fulani kimehusika moja kwa moja ikiwa hujafanyika uchunguzi kwani kwa kufanya hivyo itatuzuia kuupata ukweli mwingi zaidi wa jambo bado tunapaswa kuupisha uchunguzi ili lipatikane la kuongelewa na kuongeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…