Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Hili halitachukuliwa kwa uzito na serikali wala bunge labda kama lingepigwa kanisani.Polisi wataishia kusema ni watu wasiojulikana.Inasikitisha sana hali ilivyo kwa kweli
 
Mshipa wa b.....ako wewe na hiyo zinjibar yako unashabikia ujinga
 

Oooohooo ooho my god!

Nini hasa ccm wanakitaka raia wakifa????

Ccm ndio inayoliingiza taifa hili machafukoni
 
Nilijua tu.Sehemu yeyote ambayo Mwigulu anaweka kambi haiwezi kuisha bila vifo. ''Hongera'' Mwigulu
 
Sikilizia maumivu haya
baada ya kuhesabu kura kesho!

mkuu umeripoti kuwa upo katika mkutano ambao umepigwa bomu au mabomu.UNAPATA VIPI MDA AU HATA WAZO LA KUONGELEA MAMBO YA KURA?
 
Nilikuwepo eneo la tukio kwa kweli inasikitisha sana.
Sijui kama mwenyekiti wetu amepona
 
Nilijua tu.Sehemu yeyote ambayo Mwigulu anaweka kambi haiwezi kuisha bila vifo. ''Hongera'' Mwigulu
 
Mwisho wa ubaya ni aibu ! Rushwa imeshindikana , sasa Mabomu !
 
Nimeongea na Exaud Mamuya Muda huu,ameniambia mlipuko umetokea karibu na mahali alipokua na ni mbele maeneo walikokua wamekaa viongozi.Kwa hali iliyopo ameniambia inatisha sana na majeruhi ni wengi


Mkutano wa Leo ulikua umehudhuriwa na watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…