Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Ndizo shule za Chama Twawala!= secular
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndizo shule za Chama Twawala!= secular
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kupitia ngumi amejiimarisha kiuchumi tayari , so anaweza kuamua kufanya biashara na maisha yakaendaMkuu unadhani ni lengo gani Mwakinyo amefikia?, mimi ninaona bado ana safari ndefu sana ya kwenda na asipobadilika na kutambua kuwa SIO KILA VITA NI LAZIMA USHINDE basi ataharibu kipaji chake.
Duuuuu basi ni zaidi ya mhuni sasaMwakinyo ni mshenzi sana anatafta mabondia mwenyewe then anaweka cha juu hataki bondia wa kupangiwa anataka anae muweza mbaya zaidi anataka apange yeye watakao pigana supporting fights na promotion company apange yeye ngumi gani hizo?
Kasikilize interviewHiyo tena wapi?
Alipima uzito wa nini? kwenye madai yake swala la kubadilishiwa bondia halipobondia hassan mwakinyo hakua ma mkataba wala hakusaini mkataba wa kupigana na Julius Indongo,adhabu hii ipo totally biased.
Madai yake ni yapi?Acheni kumlaumu,
Vaeni viatu vyake na ngumi za uso ndio mtajua kwanini maslahi ya kutosha ni muhimu,
Hachezi mpira huyu, huyu anpigana ngumi mjueeeee
= secular
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Taratibu zizingatiwe. Vigezo na masharti vipo. Maamuzi ya vikao. Haiwezekani pambano kesho wewe leo unachomoa. Sheria ifuate mkondo wakehao waliomfungia jamaa ni wahuni tu kama akina sholomwamba
Unawakilisha watanzania walio wengi.Huyu jamaa hadi kaka yake ameshindwa kufanya nae kazi sababu ya ego yake
Yaani brother wake kamfundisha ngumi mpaka amekua champion lakini hata kumnunulia usafiri alikuwa hataki . Amejitokeza mdau wa mafia promotion kamnunulia pikipiki kaka yake mwakinyo kamnunia jamaa.
Jamaa maboxer karibia wote wa mkoa wa tanga hapatani nao yeye anajiona mbora kuliko watu wote
Hajui kujishusha kiburi kimemjaa ameitwa kwenye kamisheni ya ngumi kujitetea kaenda halafu kawanyea vibaya na maneno ya shombo
Kamiaheni haikuwa na option zaidi ya kumfungia tu
We mtu mpaka kakaake aliemfundisha ngumi hapatani nae ndio ujue mwakinyo ana matatizo tena sio madogo.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Alijisikia sana, muache aanze kuliona anguko lake polepoleKamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1
Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es Salaam dhidi ya mpinzani wake Julius Indongo kutoka nchini Namibia,
Siku moja kabla ya maamuzi hayo kutolewa, kupitia mitandao binafsi ya kijamii ya Hassan Mwakinyo aliandika maneno yafuatayo:
"Nilielewa mapema sana huu mchezo mchafu, nia ovu pamoja na dhamira zenu na hatma iliyotengenezwa kwa thamani ya pesa, nafikiri sasa bila kupepesa macho tunalazimika kuweka vitu wazi wazi hadharani kwenye hili, ili inapotokea tena ishu kama hii kuwe na adabu ya maamuzi hususani kwenye mchezo wetu, ni kweli pesa inaweza nunua haki na utu wa mtu lakini hio ni kwa mtu 'boya' asiyejuwa thamani na haki zake za msingi..., see you soon..."
Hisani vipi?Unawakilisha watanzania walio wengi.
Nyie kila kitu maishani mnadhani ni hisani.
Walikubaliana hayo malipo?Hisani vipi?
Yaani mtu amekufundisha ngumi tokea ukiwa chalii leo hii umetoboa mpunga upo hta kumnunulia kocha wako usafiri unaona ishu?
Kwa scenario hiyo ya mwakinyo hapo suala hisani halipo hapo ni MALIPO YA KAZI
Km humlipi kocha wako vizuri nani amlipe?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile
Nakazia hadi aseme yoteBado hajasema.
Mpaka aseme.
mie nilichomwelewa anasema wale wadhamini wa mwanzo walimpachika mtu ambayr hawana mahusiano mazuri...na huyo mtu walompachika akawa ana say kuliko wadhamini wa mwanzo..na mtu uMadai yake ni yapi?
Hapo ni ngumu sana kumuelewa Mwakinyo maana nae kimtindo ana dam mbayauvuji
Upumbavu, ujuvi na Maringo vina mponza mno mwana nchidide.Hapo ni ngumu sana kumuelewa Mwakinyo maana nae kimtindo ana dam mbaya