Huyu jamaa hadi kaka yake ameshindwa kufanya nae kazi sababu ya ego yake
Yaani brother wake kamfundisha ngumi mpaka amekua champion lakini hata kumnunulia usafiri alikuwa hataki . Amejitokeza mdau wa mafia promotion kamnunulia pikipiki kaka yake mwakinyo kamnunia jamaa.
Jamaa maboxer karibia wote wa mkoa wa tanga hapatani nao yeye anajiona mbora kuliko watu wote
Hajui kujishusha kiburi kimemjaa ameitwa kwenye kamisheni ya ngumi kujitetea kaenda halafu kawanyea vibaya na maneno ya shombo
Kamiaheni haikuwa na option zaidi ya kumfungia tu
We mtu mpaka kakaake aliemfundisha ngumi hapatani nae ndio ujue mwakinyo ana matatizo tena sio madogo.
Sent from my SM-A013G using
JamiiForums mobile app