Bondia Hassan Mwakinyo afungiwa kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka mmoja

Bondia Hassan Mwakinyo afungiwa kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka mmoja

Wengi walio kinyume na Mwakinyo ni wale waliochukizwa naye kipindi kile amegoma kupambana na kiduku. Kimsingi msiongozwe na hisia kijana ana hoja tujaribu kumpatia sikio.
Bondia gan unabagua wa kupigana nae?
 
Huyu jamaa hadi kaka yake ameshindwa kufanya nae kazi sababu ya ego yake

Yaani brother wake kamfundisha ngumi mpaka amekua champion lakini hata kumnunulia usafiri alikuwa hataki . Amejitokeza mdau wa mafia promotion kamnunulia pikipiki kaka yake mwakinyo kamnunia jamaa.

Jamaa maboxer karibia wote wa mkoa wa tanga hapatani nao yeye anajiona mbora kuliko watu wote

Hajui kujishusha kiburi kimemjaa ameitwa kwenye kamisheni ya ngumi kujitetea kaenda halafu kawanyea vibaya na maneno ya shombo

Kamiaheni haikuwa na option zaidi ya kumfungia tu

We mtu mpaka kakaake aliemfundisha ngumi hapatani nae ndio ujue mwakinyo ana matatizo tena sio madogo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Dogo ana kiburi Cha mavi[emoji34]
 
Kwahio na yeye hata kama alikuwa na kinyongo / malalamiko ndio aliona sawa kutuma tu maandiko kwenye akaunti yake ? Kwanini alikubali pambano in the first place ? Je alifikiria mashabiki ni vipi wameathirika na maamuzi yake / yao na disputes zao....

Sheria zifuate mkondo wake na kama hizi ndio sheria zinasema hivi basi na iwe hivyo (am sure sheria zinamruhusu ku-appeal na afanye hivyo ili hao wauni na wachukua haki za watu anaowasema nao sheria iwabane)
 
Mambo ya kugombania wanawake analeta kwenye kazi za watu[emoji23][emoji23]
Alafu kuna mtu bila kujua anakwambia et mwakinyo anajitambua, fuckin pga kazi mliyokubaliana kwenye mkataba then mengne yaendelee sasa anaejitambua anaweza lalamikia ujinga kama huo, kujiona star ndio kumemponza alifikiri promota atamnyenyekea, yeye kwa hili angepga kazi kwa wakati wake angepita vile kwan kila mtu si angepanda kwa wakati wake kwanza roho mbaya kwa wenzie.
 
Kwahio na yeye hata kama alikuwa na kinyongo / malalamiko ndio aliona sawa kutuma tu maandiko kwenye akaunti yake ? Kwanini alikubali pambano in the first place ? Je alifikiria mashabiki ni vipi wameathirika na maamuzi yake / yao na disputes zao....

Sheria zifuate mkondo wake na kama hizi ndio sheria zinasema hivi basi na iwe hivyo (am sure sheria zinamruhusu ku-appeal na afanye hivyo ili hao wauni na wachukua haki za watu anaowasema nao sheria iwabane)
Thubutu kama ataenda ku appeal mkuu npo hapa zaid yeye ndiyo atapelekwa mahakamani kulipa gharama jamaa ni bogaz hata umsikilize hana hoja ya maana aende mahakaman mikataba si ipo kama alionewa mwenye haki atapewa.
 
Mwakinyo nadhani hana management nzuri au hana management kabisa. Alifanya kitu cha hovyo
 
bondia hassan mwakinyo hakua ma mkataba wala hakusaini mkataba wa kupigana na Julius Indongo,adhabu hii ipo totally biased.
Hakuwa na mkataba lakini aliweza kupima uzito? Mbona ina ukakasi kidogo..
 
Hivi hata kama ni wewe, umepangiwa kupigana na A lakini siku moja kabla unaambiwa utapigana na B, bado utakubali tu?
Jamaa anatambua haki zake, yupo sahihi, kumfungia ni kumuonea
Kama ni hivyo awashitaki wamlipe.
 
Tanzania ukiinuka tu unapigwa kirungu ulale chini, tpbrc wanasaidiaje wacheza ngumi nchini zaidi ya kuwatungia sheria za kuwabana? Unakuta kiongozi ana wivu kwa sababu au hajawahi kupigana ngumi au alipigana hakuwahi kupata hata mkanda mmoja wenye hadhi!

Mabondia wanafanya mazoezi kwa taabu sana na wengine gyms zina vifaa duni wakisha jihangaikia wakaanza kuvuna matunda ya jasho lao kidogo wanakumbana na sheria na kanuni na taratibu zisizowasaidia kukua bali kuwaangusha!

Ifike mahala vitu vingine viwe huru kuendeshwa, kama wanasiasa wanapigania kuwepo mgombea binafsi basi na kwenye michezo sanaa na burudani iwe hivohivo sio mwanamichezo anasota kupanda chati anakutana na mamlaka inayomrudisha chini.
 
Back
Top Bottom