Bondia gan unabagua wa kupigana nae?Wengi walio kinyume na Mwakinyo ni wale waliochukizwa naye kipindi kile amegoma kupambana na kiduku. Kimsingi msiongozwe na hisia kijana ana hoja tujaribu kumpatia sikio.
Dogo ana kiburi Cha mavi[emoji34]Huyu jamaa hadi kaka yake ameshindwa kufanya nae kazi sababu ya ego yake
Yaani brother wake kamfundisha ngumi mpaka amekua champion lakini hata kumnunulia usafiri alikuwa hataki . Amejitokeza mdau wa mafia promotion kamnunulia pikipiki kaka yake mwakinyo kamnunia jamaa.
Jamaa maboxer karibia wote wa mkoa wa tanga hapatani nao yeye anajiona mbora kuliko watu wote
Hajui kujishusha kiburi kimemjaa ameitwa kwenye kamisheni ya ngumi kujitetea kaenda halafu kawanyea vibaya na maneno ya shombo
Kamiaheni haikuwa na option zaidi ya kumfungia tu
We mtu mpaka kakaake aliemfundisha ngumi hapatani nae ndio ujue mwakinyo ana matatizo tena sio madogo.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nchi gan alifungiwaSiyo mara ya kwanza na sio TZ tu. Hata huko nchi za wenzetu alishafungiwa, kunyang'anywa ubingwa
Alafu kuna mtu bila kujua anakwambia et mwakinyo anajitambua, fuckin pga kazi mliyokubaliana kwenye mkataba then mengne yaendelee sasa anaejitambua anaweza lalamikia ujinga kama huo, kujiona star ndio kumemponza alifikiri promota atamnyenyekea, yeye kwa hili angepga kazi kwa wakati wake angepita vile kwan kila mtu si angepanda kwa wakati wake kwanza roho mbaya kwa wenzie.Mambo ya kugombania wanawake analeta kwenye kazi za watu[emoji23][emoji23]
Thubutu kama ataenda ku appeal mkuu npo hapa zaid yeye ndiyo atapelekwa mahakamani kulipa gharama jamaa ni bogaz hata umsikilize hana hoja ya maana aende mahakaman mikataba si ipo kama alionewa mwenye haki atapewa.Kwahio na yeye hata kama alikuwa na kinyongo / malalamiko ndio aliona sawa kutuma tu maandiko kwenye akaunti yake ? Kwanini alikubali pambano in the first place ? Je alifikiria mashabiki ni vipi wameathirika na maamuzi yake / yao na disputes zao....
Sheria zifuate mkondo wake na kama hizi ndio sheria zinasema hivi basi na iwe hivyo (am sure sheria zinamruhusu ku-appeal na afanye hivyo ili hao wauni na wachukua haki za watu anaowasema nao sheria iwabane)
Utashangiliwa sana ukiwa huna matatizo.. Waliokuwa wakikushangilia ndio watakuwa wa kwanza kukucheka ukipata shidaMda wa wapambe kumuacha peke yake
Hakuwa na mkataba lakini aliweza kupima uzito? Mbona ina ukakasi kidogo..bondia hassan mwakinyo hakua ma mkataba wala hakusaini mkataba wa kupigana na Julius Indongo,adhabu hii ipo totally biased.
Kama ni hivyo awashitaki wamlipe.Hivi hata kama ni wewe, umepangiwa kupigana na A lakini siku moja kabla unaambiwa utapigana na B, bado utakubali tu?
Jamaa anatambua haki zake, yupo sahihi, kumfungia ni kumuonea