Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo umri umeenda 43yrsHuyu Mandonga apambane tu kupiga miti. Ila kwenye ndondi, hakuna kitu. Maneno mengi! Mikwara mingii! Kupigana hawezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mandonga kapigwa knockout,huyu ni muhuni tu siyo bondia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atapigwa mandonga huyu.Mandonga asipoangalia atapigwa ,mwenzake ana upper cut hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kudadeki mandonga anapigwa,anaona maruweruwe
mkataba sio kujaza ukumbi, ni kupiganaPotelea mbali Mandonga apewe fungu lake amejaza ukumbi
Mandonga ni bondia mbovu Sana anabebwa na maneno tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atapigwa mandonga huyu.