Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Katompa ni ngumu sana
Kidunda awe makini sana, Dullah pazi anamjua huyu mchizi
 
Moja ya michezo ambayo ilinishinda kabisa kushabikia ni huu mchezo wa ngumi, nibola niangalie uongo wa Bongo movie kuliko kuangalia michezo ya ngumi,
Kweli kila mtu na kilevi chake
Kwa hio bora uangalie movie za dizaini [emoji116][emoji116] sio mkuu?
FY1WGOQX0AAmBeA.jpg
 
Hii dunia vituko haviishi,singeli ya kumsifu kidunda inaimbwa ila wanaocheza wacongo
 
Licha ya Mandonga kupoteza pambano hili la pili naweza kumpa hongera kwa kuweza kuleta mwamko kwenye mchezo huu wa ngumi.

Kila nchi kuna asili yake ya kinachowafanya wapende mchezo flani a huwezi kulazimisha iwe kama nchi nyingine, mfano kwa hapa bongo mpira umekuwa kwa kiasi kikubwa sana kwa watani wa jadi kutambiana umwamba, maneno mengi, n.k. Yani kelele, Na hapa muasisi mkubwa nadhani kila mtu anamjua.

Kelele ndio wanazozipenda wabongo wengi, maneno ya kujipa umwamba, maneno ya kebehi, n.k.
yeah yani imeamsha hamu flani ya kufatilia boxing
 
Hawa wakina bonabucha na galiatano mbona kama wanapewa mabondia viazi sana?mnao fatilia boxing hamjaliona hili?
 
Mandonga sawa na wcb zile kick zo zinaleta mvuto kweny game watu hawajui kabisa leo hapa kitaa mpaka mademu wamejazana kweny bar wengine vibanda umiza hata game ya man city na Liverpool Haina mashabiki watu wanamngoja mandonga nimemkubali
 
Hawa wakina bonabucha na galiatano mbona kama wanapewa mabondia viazi sana?mnao fatilia boxing hamjaliona hili?
Galiatano hata boxer aliyovaa siyo ya boxing , Dula mbabe akichambua alisema huyu siyo bondia hata boxer aliyovaa ya mtaani tu,halafu jamaa anapigana kama anaogelea
 
Bongo ushamba mwingi ,jamaa anayeongea anatupotezea mda tu ,ushamba gani huu kutoa hotuba kwani hajifunzi kwa wengine?
 
Jamaa anaongea hadi mzuka unaisha,ushamba mwingi angeongea wakati vitasa vinaanza siyo katikati ya ngumi
 
Mandonga kapigwa lakini anaachwa kutangazwa aliyeshinda(hata sijui jina la mshindi ni nani)baada ya pambano anatajwa Kareem Mandonga[emoji23][emoji28].
huyu mandonga anakipaji na nyota flani hivi kwenye kupromote.

mimi binafsi bado nasimama na Kareem Mandonga kwenye boksing ya leo[emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom