Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Mkongo kama anaanza kurudi, Kidunda anaongoza round 6 wapo round ya 7. Mkongo sasa hivi anategemea kupiga knockout kwa round mkongo kazidiwa
Kidunda kupotea kabisa kuanzia round ya 7. Nahofia mpaka round ya 9 anaweza kula KO.
Maana jab yake imeshuka sana.
 
Ya 8 kajitahidi. Akwepe tu KO hapo atashinda yeye kwa AD
 
Kidunda anatakiwa apoteze mda isitokee knockout
 
Kengele inagongwa bado sekunde 9 [emoji1787][emoji1787] hapo mpango kazi umekaa vizuri
 
Back
Top Bottom