Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidunda kupotea kabisa kuanzia round ya 7. Nahofia mpaka round ya 9 anaweza kula KO.Mkongo kama anaanza kurudi, Kidunda anaongoza round 6 wapo round ya 7. Mkongo sasa hivi anategemea kupiga knockout kwa round mkongo kazidiwa
Na ukifata maneno yake unaweza ukagoma kuingia ulingoni. [emoji23][emoji23][emoji23]Mandonga ni bondia mbovu Sana anabebwa na maneno tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mandonga kesha sema ajali kazini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hana pumzi anakumbatiaKidunda round ya 8 bado anazipiga za kutosha
Ila ana faida cha msingi isitokee knockouthana pumzi anakumbatia
Duh sikujua hilikwa wasiojua mpinzani wa karim mandonga "wa ukae" ni shaaban kaoneka ambaye ni mtanzania pekee kumpiga bondia hassan mwakinyo tena kwa k.o
Hata mi nashangaaKengele inagongwa bado sekunde 9 [emoji1787][emoji1787] hapo mpango kazi umekaa vizuri
Watakuja kufa, mchezo unaochezwa na wazee ni golf tuHata hivyo umri umeenda 43yrs
Mwakinyo alikalishwa na Kaoneka?kwa wasiojua mpinzani wa karim mandonga "wa ukae" ni shaaban kaoneka ambaye ni mtanzania pekee kumpiga bondia hassan mwakinyo tena kwa k.o