Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Ovyoo kabisa Huyu Mleta Mada, Sasa Alitakaje? Hivyo ndio Vitu Muhimu, Nyumba, Gari na Vitu vingine vinavyokupatia kipato, Dalili ya Umasikini ni Pamoja na kupanga Chumba kimoja Mbangara au Buguruni au Vingunguti au Kwa Mtogole na Dalili Zingine za Umasikini ni Za kutembelea Baiskeli, Sasa Kwa TANZANIA yetu hii Gari Unayo, Nyumba Nzuri Si umetoboa kimaisha, Wewe Mleta Oja ulitakaje? Punguza Makasiliko na Wivu
 
NAKAZIA
 
Kunguni wewe nijenge nyumba za kulala watu kwani Mimi ndio niliowaleta duniani we kweli ngedere nikajua unaandika vitu vya maana kumbe kuwa tajiri ni kujengea watu sehemu za kulala na kujenga hotel watu wapate chakula umesikia Mimi serikali we kweli ngedere hujui kitu
 
Hivi zile milioni 49 nilizokutumia ulizipata?
 
Kwa kiwango chetu ni ndio ulogwe na ndugu ,mchepuko ,kazini ,majirani, kuzungukwa na madeni[emoji1787][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fanyamasihallllaaasnnn
 
Aendelee Juu zaidi wapi huko!?
Kama unaona hajafika juu unapopataka wewe, basi malizia mwenyewe.
Na ndiyo maana familia nyingi zinaendekea kuwa maskini kwasababu ya mtazamo kama huu. Nilichokuwa namaanisha anaendelee kutafuta mafanikio zaidi ili hata yeye akifa watoto wake aendeleze kile baba alicho kianzisha.. Gari na nyumba ni mwanzo wa mafanikio.
 
Mfumo wa maisha na uchumi wa nchi yetu umebanwa sana waendesha nchi .

Tuna lasilimali za asili nyingi sana nchini lakini hazi tusaidii wananchi kwa uiano unao faa. .
Ndiyo maana mtu akifanikiwa kununua gari ya ml30 au 50 na akijenga Nyumba ya 50 ml ataona amefanikiwa na jamii inayo mzunguka itamheshinu kwa hilo na msululu wa waomba misaada ju.

Nchi ninapaswa kubadilika kimifumo kwa kiwango cha ju ili watu wajenge uchumi na utajiri wa kimataifa kwa %walau 40 ya watu wote ,kisha kila mwananchi awe na uwezo wa kununua gari kwaajiri ya shufhuri zake maishani.
 
S
Comment yako Iko classic (nimeipenda sana). Kwa mfano, Tanzania tulipotoka Hali ili kuwa ngumu sana, katika miundo mbinu ya Shule, hususani Shule za umma (msingi na Sekondari). Kwa sasa, Serikali imejenga/inajenga Vyumba Vya madasa na vyoo Bora Vya Wanafunzi. Waandamizi na chawa wa Serikali wanagaragara chini kumpongeza Rais Kwamba anaupiga/ameupiga mwingi. Wanatuaminisha kwamba hayo ni mafanikio ya juu kabisa. Lakini nchi kama Japani, German, U.K, n.k wao walishavuka level za kushadadia Ujenzi wa majengo mazuri ya Wanafunzi. Kwao Wako kwenye level za kuhangaika na rocket za kupeleka wanadamu sayari ya Mars.
 
Kama unamiliki gari na kanyumba halafu bado mafuta ya gari unabangaiza bado sio uchumi wa kati.
Mambo mengine ni mngekaa kimya tu hamtopoteza kitu Wala kuongeza kitu sio busara kumnanga mtu anayejitafutia kihalali
 
Sikio la kufa haya fanya unavyoona kwako ni sawa ila msimamo wangu upo pale nyumba na gari sio kwamba umejipata ni akili za ulimbukeni tu na mawazo ya kimasikini
Nadhani Pitia maana ya Maneno Maisha; Kujipata, Umasikini na ukishatumbua kwamba watu wapo tofauti ndio utagundua kwamba kuna masikini mwingi kingi na tajiri mwenye vichache..., Na ukishatambua hivyo utaona kwamba mtu aliyeridhika sio limbukeni bali yule asiyeridhika ndio limbukeni....

To each their Own...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…