zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ulimbukeni tuNadhani Pitia maana ya Maneno Maisha; Kujipata, Umasikini na ukishatumbua kwamba watu wapo tofauti ndio utagundua kwamba kuna masikini mwingi kingi na tajiri mwenye vichache..., Na ukishatambua hivyo utaona kwamba mtu aliyeridhika sio limbukeni bali yule asiyeridhika ndio limbukeni....
To each their Own...
Kwa hiyo hata unachofanya hujui mkuu ?Utajua wewe
Kununua Gari MTU unaayetegemea mshahara pekee ni kupunguza umaskini au kuongeza umaskini mkuuKujenga na kumiliki usafiri ni sehemu ya success Kwa Tanzania
Maana hali ya Umasikini ni kubwa miongoni mwetu.
Baadhi ya Wazee wetu, hadi wametangulia mbele za haki hawakufanikiwa kununua hata Kiwanja cha 20x30
Kwanini usitembee kifua mbele Kwa kufanikisha hilo??
Kwamba wasio na magari wanakosa mahitaji muhimu sioNi sahihi kutegemea kiasi cha mshahara anachopata. Siku hizi gari sio luxury..ni hitaji muhimu.
Yaani watu tunadhani maisha ni kama ni uniform wote tuwe sawa kitu ambacho sio sahihi.Mafanikio ni swala pana. So inategemea hali uliokua nayo awali na ulipo kwa wakati husika.
Kwa mfano unaweza kuta mtu kwao kakulia kwenye nyumba ya udongo na shule amesomea 2km umbali kutoka nyumbani na anaenda kwa miguu kila siku, sasa mtu kama huyo akijenga nyumba ya milion 30 na kagar ni mafaniko makubwa sana kwake ila kwa mtoto wa mengi au bakhresa kwao mafanikio ni vitu tofauti na hivyo.
Kiwango kikubwa Cha kufikiri ni kununua gari ya show off kwa mshahara wa laki tano Hadi million huku hujawekeza chochote sio ?Ila ww naona una kiwango kdg cha kufikiri hakyamungu unauliza maswali ya kitt sn
Asante mkuuNjia moja ambayo wakati mwingine anakosa pesa ya mafuta,gari hakatii insurance,service anapitiliza basi shido tu
Alafu atalalamika Hana mtaji wa kuwekezaUsiombe pia awe na iPhone macho matatu. Hapo anaona dunia yote yake
Anadhani ni rahisiMkuu huyu ni tajiri nyumba ya 30m na gari ya 20m huyu ni class apart wa Tanzania wanao weza kumiliki mali ya 50m hawafiki 10% plz mkuu heshimu juhudi za watu, sio kila mtu anaweza kumiliki gari na nyumba.
Wanasahau kwamba maisha ni zaidi ya hizo basic needs and life keeps on rolling .Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Mara nyingi watu aliowasema mtoa mada huwa wanaleta dharauPeople should just mind the business that pays them!
Kwa nini mnapenda kujishughulisha na mambo ya watu wasiowahusu?
1. Kuna wakati Mtanzania ni sawa na mbuzi wa kuchinjaKwa hiyo hata unachofanya hujui mkuu ?
Kutoboa kimaisha ni utamaduni. Sasa kama wewe huna hivyo vitu utaitwaje?Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Kila mtu anapata mahitaji yake kulingana na kipato chake. Kwangu mimi gari sio luxury, maisha yangu ili yaende nahitaji kuwa na gari nyumbani😀Kwamba wasio na magari wanakosa mahitaji muhimu sio
Kwa kutegemea mshahara pekee
Gari inaongezea kipato au unatumia na kipato ulichanacho ?
Watanzania wengi hawana elimu ya fedha mimi kila siku nawapiga spana inakuwaje mtu unanua gari tena kwa hela ya mkopo halafu unaenda ku pack ofisini kuanzia asubuh mpaka jioni haliingizi hata cent halafu akitoka kazini anapitia kwenye biashara yake ya juice yenye mtaji wa laki moja na matunda kuna madogo wamekuja juzi hapa wameshachukua mkopo wa gari cha ajabu wanapiga mizinga balaa mara nikopeshe elfu kumi mimi gari labda nikistaafu nakuwa kama CEO wa NALA anatumia bajaji.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Kwa kila aliyefanikiwa nyuma yake kuna story chungu ila aina ya story ndiyo zinatofautiana tu.Wengi wanapiga hatua kuzidi uwezo unajua ukipiga hatua kubwa kuzidi uwezo unachana msamba au haujui? sasa ndio yanayowakuta wengine, kuna mtu analazimisha kuonekana na watu kwamba na yeye hajaachwa nyuma sasa hapo ndipo maamivu yanapokuja ukitaka kuwaonyesha watu kwamba na mimi sipo nyuma nimenunua gari zaidi ya milioni 10 nimejenga nyumba milioni 100 kasoro sasa jiulize huyo mtu je ni mtu mwenye hadhi ya kushika hio milioni 100 kwa mkupuo ameshinda bingo? Hakuna basi jua behind kuna maumivu makali mno mno mno ambayo wewe hauyajui usione anatabasamu akiingia chumbani hujui mlio anaolia
Si kila unachonunua na investment mengine unayanunua kukurahisishia maisha. mfano wewe hapo una smartphone, ukitaka kuiuza sasa utaiuza kwa faida au hasara? Je, kwa fikra hiyo hukupaswa kununua smartphone? Bila shaka hapana uliinunua ikirahisishie mawasiliano.Nafikiri umeelewa ndo maana umepaniki
Labda nikuongezea swali lingine
Hiyo Ist uliyonunua million 10 unafikiri baada ya miatano utaweza kuiuza hiyo Bei ?
Na unafikiri itakuwa imepanda thamani au imeshuka thamani ?
Kama imeshuka thamani , unafikiri umejiongezea utajiri au umaskini ?