Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Hapo kwenye kuchukua mkopo ndo alizingua mm siwezi kuchukua mkopo lazima nijenge na ninunue gari ila mkopo sichukui
 
Hapo kwenye kuchukua mkopo ndo alizingua mm siwezi kuchukua mkopo lazima nijenge na ninunue gari ila mkopo sichukui
Sasa ukiangalia kudunduliza itakuchukua miaka ndio hivyo kakutana na mwanamke standard 7 failure kampa ushauri katie saini bank tule maisha jamaa kaingia king kilichofuata ni mtiti imem-cost parefu almost miaka 10 na zaidi ku-recover mateso watoto kurudishwa nyumbani kisa karo haitoshi madeni mpaka anakimbiwa ogopa yasikukute
 
Hiyo n kwel lakn ukifanikiwa kuwa na nyumba na gari na hauna mikopo mikubwa uta enjoy
 
Hiyo n kwel lakn ukifanikiwa kuwa na nyumba na gari na hauna mikopo mikubwa uta enjoy
Wewe umetoka nyumba ya tope unaambiwa kuna M200 pale ambayo itakuchukua miaka 15 mpaka 20 kuilipa uchukue ujenge nyumba ya kisasa na usafiri mzuri na uwe na kibiashara cha kuzugia maisha wewe utaacha au utachukua?
 
Kuwa na nyumba na gari Si kufanikiwa,

Hata ndege wa angani Wana nyumba na usafiri.

Kufanikiwa ni Jina lako kuandikwa katika KITABU Cha Uzima baada ya kumpa Yesu maisha Yako. Kufanikiwa ni Kuzaliwa UPYA na kuitwa mwana wa Mungu, unaishi milele.

Aamin!!
 
Kwa east Africa Tz inamzidi Burundi tu,yaani hata Zimbabwe iliyokua kwenye vikwazo kwa miaka mingi inatuzidi mbali sana.........yes,ukiwa na hivo vitu kwenye nchi masikini kama Tz,unakua ni miongoni mwa wa Tz 2M,wenye ahueni na maisha kati ya 60M+
 
Sawa,haya sasa na wewe ni mambo gani ukifanya kwako unaona umetoboa

Ova
 
Mkuu huwezi kujaliwa kila kitu. Ni mara chache sana kumkuta mtu anausafiri halafu anapendelea kupanda daladala,hali kadhalika anayepanda daladala kila siku anatamani naye awe na gri siku moja. Ni mara chache sana mtu kujinyima kitu anachoweza ku- afford. Na pia huo ndio mtindo wa maisha, lazima tutegemeane ili dunia iendelee.
 
Labda mkuu utuambie pengine ili uhesabike umetoboa maisha unapaswa uwe na nini?
Pia tuambie ni nini maana ya mafanikio?

kwangu mimi huyo ni boss tiyari maana utakapo paki gari lako la m70 ama m100 na yeye atapaki palepale
Sensa ikipita ya wenye magari nayeye atahesabiwa kama wewe hata nyumba yake itahesabiwa vilevile.

Ni kama kumcheka mwenye Tecno,Itel na infinix kisa wewe una iphone
ni kutokujielewa kwako tu
 
Hayo nimatokeo mtu yeyeto yanaweza kumpata. Tumeona maduka ya watu yakiungua moto nyumba,shule na hospital watu wanarudi moja kabisa. cha msingi ni uzima
 
Hizi ndiyo fikra zetu watz,mambo manyooonge tuayapa nafasi
 
Nchi ya kimasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…