Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Julie yule mwenye mwanya na hips don't lie!? Julie s.m au?..nimepiga sana yuleKuna wimbo wa Bob Ludala unaitwa Julie kimsingi unanikumbusha CBE sehemu niliyopata heartbreak ya kwanza kwa mtoto wa kichaga
Nilisikia ipo ila niliisaka bila mafanikio,vipi kitumbua kimenona!?Miaka hiyo ilikuwa yake kweli alicheza porn makusudically
Mwamba wa kijapan chuma hakisimami?New day Has come huwa nataka kutoa chozi na uanaume wangu
Roma hubwata tu,makeleleHakuna hata moja ya Roma Mkatoliki!
Niliona kipande alichonyonya koniNilisikia ipo ila niliisaka bila mafanikio,vipi kitumbua kimenona!?
CNN ile verse ya Ngwea ilikua ya hatari sana... alianza kama hatari hivi.5. Zari la mentari- Prof J
4. Mtumishi wako- Mwana Fa, Banana Zorro
3. Lala salama- Diamond
2. Single Again- Harmonize
1. CNN - Albert Mangwear
Unaikumbuka ile interview?CNN ile verse ya Ngwea ilikua ya hatari sana... alianza kama hatari hivi.
Nilimsikia Farid anasema alishaingiza vocal za verse yake ila baada ya kuskia verse ya Ngwea ikabidi aifute ile ya kwanza ndio akaingiza ile verse yenye unyama mwingi sana " usiniite half man, niite man in a half, you think small, and you'll remain small for life..."
Kwa hapa sikupingi mkuu... huu ulikua muwa kati ya miwa mingi ya Ngwea
Jamaa muziki ulikua kwenye damu aisee na aliufanya uonekane rahisi sana Kwa vijana while kiuhalisia sio.Unaikumbuka ile interview?
Ngwear alikuwa Mnyama sana 😂😂😂
Great choices1.Dulayo - Naumia roho.
Niliupenda sana wakati nimependa pia na nilikua napitia situation kama hiyo hiyo na kibaya zaid dogo aliimba verse kali tena kwa hisia sana.
2.Dushelele - Alikiba.
Napends miondoka ya huu wimbo, lugha ilotumika na content safi kabisa.
3.Aug'13 - Fd Q
Huu ndo wimbo ulonifanya nimwelewe zaid Fid Q kwa maana uligusa sana maisha yangu kuanzia ushaiti mpaka jina la wimbo hua nautumia kila mwakan kuienzi siku yangu ya kuzaliwa.
4. Utu - Alikiba.
Huu wimbo umepangilia sana kiushairi, beat, sauti na umetulia yani hauna itikadi. Wimbo bora wa Mapenz wa muda wote kwangu.
5.Mtoto wa Kiume - Jeez Mabovu.
Huu wimbo niliusikiq kwa mara ya kwanza mitaani nikiwa mdogo nikiwa kwenue hustle ile ajira za utotoni ulinitia moyo sana na kuanzia hapo sikujichukulia kama mtoto tu bali mtoto wa kiume hivyo kujituma ni wajibu wangu na si mateso.
#Ziko nyingine nyingi nzuri pengine hata zaid ya hizo ila hiz ndizo naweza weka repeat mpaka msanii akaomba maji ya kunywa.
Hakika Mkuu.Great choices
1.Baby Candy-Dully sykesBongo fleva top 5 ya muda wote...