Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Asante sana huu wimbo wa Nzuki ndo wimbo Bora tangu tupate Uhuru mwaka 616. Shihango - Nyanda Lunduma
7. Nzuki - Kisma the Great
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana huu wimbo wa Nzuki ndo wimbo Bora tangu tupate Uhuru mwaka 616. Shihango - Nyanda Lunduma
7. Nzuki - Kisma the Great
Mkuu kumbe unamfuatiliaga Kisima,Jamaa yupo vizuri sana6. Shihango - Nyanda Lunduma
7. Nzuki - Kisma the Great
Hao watu walikua hatari sana mkuu sema biashara ya muziki wa bongo inaua vipaji vingi sana... kundi lilivunjika wakati bado tunalihitaji yani... hizo ngoma ulizotaja zote zipo kwenye playlist yangu ya zilipendwaKuhusu wakali kwanza Kuna Ngoma ya makamua na enika Rudi nyumbani, Joseline na ticha, niite bas, umewezaje ukija kwa Q jay Sifai.
Hii inatoa tafsiri kwamba wakali kwanza kweli walikuwa wakali
Ray C wa hiyo umenikataa nila sababu nilikuja kumsikia tena kwenye Mama ntilie aliyoimba na wakina AT ni RayC fulani anayeshushua 😂😂Stara Thomas- Mimi na wewe
Maunda -Nataka niwe wako
Ray C-Unanifuatia nini(una vijembe
makini sana kwa mtu wa kuitwa
ex)
Kamanda - Daz Nundaz ndio nyimbo ya Bongo Fleva ya wakati wote. Akifa mtu tu hio nyimbo ni relevantList nzuri kama ulivyosema ya kukumbuka moments ila kwa mimi nyimbo zote zitaimbwa ila mtazamo itabaki kuwa nyimbo bora ya bongo fleva upande wa hip hop.
Na wakali kwanza natamani utabaki kuwa wimbo bora wa RnB wa muda wote.
Chochote popote huu kwangu utabaki kuwa wimbo bora wa hip hop unaozubgumzia mapenzi (Joh makini aliuwa sana humo ndani).
Collaboration yangu bora ya bongo fleva naitupa kwenye dhahabu, ebhana e Dully, Blue na Joselin waliua sana mule ndani.
Prof na series yake ya ndio mzee ni moja ya ngoma zenye ubunifu na idea ya kipekee ambayo ilifanywa kuwa nyepesi na ya kuvutia sana na mwanalizombe.
Huu wimbo uliandikwa sana... nilikua nauogopa sana kuuskiliza enzi zile nakua kua 😅😅Kamanda - Daz Nundaz ndio nyimbo ya Bongo Fleva ya wakati wote. Akifa mtu tu hio nyimbo ni relevant
Yani hakuna matusi ila ujumbe unagusa ex lazima akomeRay C wa hiyo umenikataa nila sababu nilikuja kumsikia tena kwenye Mama ntilie aliyoimba na wakina AT ni RayC fulani anayeshushua 😂😂
Namba 3 ilifaa ikae kwenye namba zote katika hiyo list hapo, ingekuwa ni mimi.Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo...
1. Nipe Tano - Daz nundaz..
Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama birth hivi ...ndo kwanza Taifa linapata TV special Kwa bongo flava na vijana ...Nani angejua channel 5 ingekuwa chanzo cha TV zote zilizozagaa now?golden era..
2. Dushelele - Ally Kiba
Wengine wanamuona Ally Kiba kama the best ever bongo fleva singer ...huu Wimbo Una kitu unique sana...mashairi ambayo hayana lugha za vijana au matusi ..umeandikwa vizuri umeimbwa vizuri...kinacho ufanya uwe special ni kudhani kuwa kungekuwa na nyimbo kama hii nyingi ..but cha kushangaza ni kama imeshindikana kabisa kupata uandishi kama huu na Wimbo kama huu...umebaki Tu wa aina yake..
3. Mfalme -Mwana Fa
Wimbo unahusu Mungu kwenye bongo fleva na ndani ambae baadae anakuja kuwa waziri wa sanaa... something unique...
4. Muziki-Darasa..
Wakati ilionekana kama ngumu kutamba kwenye mziki bila kupitia wasafi au kupata sapoti ya Diamond...jamaa aliibuka na kutawala vibaya mno na Wimbo ambao unaitwa "mziki"...hakuna aliedhania wala kutegemea....
5.Single Again - Sikuwahi kupenda nyimbo yeyote ya Harmonise wala kumtegemea atakuja kutoa Wimbo utatamba Hadi nje ya Tz ..ila huu Wimbo alionesha ana kipaji.. na inawezekana kufika juu Sana ukiamua...
Wengine mnaweza taja za kwenu na sababu
Wa 2000Zote hapa sizijui🥲
Zali la mentali kiboko bwana.Zali la mentali prof j ft juma nature
Mtazamo Afande ft Solo thang, Prof j
Tutakukumbuka daima Gk ft TID, hili song kila msiba maarufu lazima lipigwe
Hakunaga Suma lee
Nakupenda mpenzi Dudu baya