Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Hata muziki Wa Sasa hv una ubunifu mkubwa tu licha ya sampling Lakini mijitu ya zaman Kaz kujipakulia minyama tu tafkr waondo talented sana
 
Pasha umemshaau
 
Mr. Nice no. 1, Mr Ebbo
 
Miaka ya nyuma msanii kutoka ilikuwa ni ngumu sana sasahivi social media zimesaidia sana
 
Dudubaya
 
Jaffarai - Unapenda nini
Shaa na Witness na Langa Ile ngoma yao ya Unaniacha Hoi ilibamba Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…