Sio kweli ni uketa tu wa wale PSRS na panelist...Wengi hawana vigezo
Sasa kama watu uwezo mdogo unataka wapitishwe la lazima?Sio kweli ni uketa tu wa wale PSRS na panelist...
Wana-complicate mambo
Naweza kukuelewa sasa, nini kifanyike?
Sio tuwaandae vizuri zaidi vijana? Hivi hata course za kiswahili, linguistics, journalism siku hizi zinakosa wataalam? Nimeshangaa!
Nakumbuka miaka ile tunamaliza UDSM kuondoka na GPA ya nne kwa undergraduate ilikua kawaida sana.Vijana wengi wanaosoma hizo kozi na wanajua presentations Hawakazi kwenye masomo chuoni. Wanakula bata tu mwisho wa siku hawafikishi gpa 3.8
Gpa kubwa zimebaki udbs , conas na coet tu
Sio ukubwa wa qualifications tu. Kazi ni highly demanding, time consuming, energy consuming abd relatively poor rewarding. Unaenda kufundisha chuo na MaGPA yako makubwa, uwe unabukua na kuandaa masomo kila wakati lkn mwishowe malipo ni kiduchu ukilinganisha na wenzako waliopambana au watakaopambana kuingia kwingine ndani ya serikali. Na Masters yako, unakuja vijana wa Bachelor wanakuzunguka mara kibao. Wana safari za kilakukicha wakato weww unakomaa kuandaa slides kozi kama 3 hivi au hata kupitia za wenzako. Mara usahibishe mitihani ya wanafunzi wengi. Pointi yangu ni kwamba package za wahadhiri zipitiwe na kuboreshwa. Hata kwa kuhamia hakuna mtu atataka kwemda. Maisha ya wahadhiri nayo yawe bora kama huko TCRA, TRA, BOT, PSSF, NSSF, NHIF na kwingine.Hello members,
Nimestushwa sana na hii trend ya kutafuta wahadhiri kwa kurudia rudia matangazo kila siku.
Nilikua na mzee mwenzangu leo akanionesha tangazo la kazi za wanataaluma kutoka UDSM zaidi ya wanataaluma 300 huko lakini chakushangaza tangazo linarudiwa!!
Shida ni nini na wasomi wa masters sasa ni wengi mno tofauti na miaka yetu?
Shida ni umahiri? Uzoefu? Ufaulu au nini?
Nini kifanyike kurejebisha hili maana hii imenistua sana.
Mbona wanadai yameboreshwa?Sio ukubwa wa qualifications tu. Kazi ni highly demanding, time consuming, energy consuming abd relatively poor rewarding. Unaenda kufundisha chuo na MaGPA yako makubwa, uwe unabukua na kuandaa masomo kila wakati lkn mwishowe malipo ni kiduchu ukilinganisha na wenzako waliopambana au watakaopambana kuingia kwingine ndani ya serikali. Na Masters yako, unakuja vijana wa Bachelor wanakuzunguka mara kibao. Wana safari za kilakukicha wakato weww unakomaa kuandaa slides kozi kama 3 hivi au hata kupitia za wenzako. Mara usahibishe mitihani ya wanafunzi wengi. Pointi yangu ni kwamba package za wahadhiri zipitiwe na kuboreshwa. Hata kwa kuhamia hakuna mtu atataka kwemda. Maisha ya wahadhiri nayo yawe bora kama huko TCRA, TRA, BOT, PSSF, NSSF, NHIF na kwingine.
Umedanganywa.Mbona wanadai yameboreshwa?
Wameboreshaje? Kuboresha sio kuongeza percent. Shida ni packages au remunaration kwa ujumla. Unajua hata walimu wana mishahara mikubwa tu kwa mujibu wa scale za serikali. Lakini tatizo package. Yaani unakuta chuoni mwenye GPA 4.2 anafundisha na kupata nusu ya package anayopata mtu mwenye GPA ya 2.6 huko kwingine. Kama wanataka GPA kubwa basi package zivutie kweli.Mbona wanadai yameboreshwa?
Wahadhiri wanalipwa Tsh ngapi?Sio ukubwa wa qualifications tu. Kazi ni highly demanding, time consuming, energy consuming abd relatively poor rewarding. Unaenda kufundisha chuo na MaGPA yako makubwa, uwe unabukua na kuandaa masomo kila wakati lkn mwishowe malipo ni kiduchu ukilinganisha na wenzako waliopambana au watakaopambana kuingia kwingine ndani ya serikali. Na Masters yako, unakuja vijana wa Bachelor wanakuzunguka mara kibao. Wana safari za kilakukicha wakato weww unakomaa kuandaa slides kozi kama 3 hivi au hata kupitia za wenzako. Mara usahibishe mitihani ya wanafunzi wengi. Pointi yangu ni kwamba package za wahadhiri zipitiwe na kuboreshwa. Hata kwa kuhamia hakuna mtu atataka kwemda. Maisha ya wahadhiri nayo yawe bora kama huko TCRA, TRA, BOT, PSSF, NSSF, NHIF na kwingine.
Siwezi kusema kitu(kuweka wazi) ninachokijua kutokana na kazi yangu.Wahadhiri wanalipwa Tsh ngapi?
Basi wanalipwa vizuri.Siwezi kusema kitu(kuweka wazi) ninachokijua kutokana na kazi yangu.