UFAULU
Elimu ya chuo kikuu Ili upate upper second au first class....
Ina bidi sacrifice sana...kujitoa sana na Mwenyezi MUNGU awe upande WAKO daily.....
Na huo msako wa first class na upper second unatakiwa uuanze tangu First semester ya mwaka wa kwanza.....
Mm nilikuja kupata awereness mwaka wa kwanza semester ya pili....mtanange ukawa mgumu pambania sana KOMBE...
Nika fall in love na masomo nikawa BOOK MONGERS...
Yaan NDIO Nika ishia 3.5 nakumbuka Kuna watu wakinionaga nao wanapata mshituko
am 4 real am 4 real Duniani [emoji288] hakunaga mtu mwembamba[emoji41]
am 4 real hatukuwai kujua utakuja kunenepa....
Hapa sijazungumzia Favoritism huko masomo vyuoni....
All in all Kupata first class au upper second class need dedication....
Hata Kwenye course za social science sio lelemama usipo kua makini unaishia pass na lower second class