Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbaya. Kinachowatofautisha wao na waalimu wa A-level ni hiyo GPA tu. Mshahara hautoshi kila sehemu. Watumie vizuri faida ya kukopesheka kufanya mambo mengine. Kinyume na hapo watazidi kulaumu tu. Hata hawa wabunge wangekuwa wanapata mishahara tu bado sio nyingi kivile kwa sababu ya wahitaji wengi walio nao. Wahadhiri wajiongeze kwasababu pia wana faida kubwa ya vyuo vingi kuwa mijini.Nimefanya research kwa Masters ni 2.9M gross na degree 1.9M gross
Basi re-advertisement zitaendelea kuwepo. Re-advertisement kila mar ni alarm. Ni ujumbe wa kimya kimya ambao bahati mbaya sio kila mtu/mwajiri naweza kung'amua.Sio mbaya. Kinachowatofautisha wao na waalimu wa A-level ni hiyo GPA tu. Mshahara hautoshi kila sehemu. Watumie vizuri faida ya kukopesheka kufanya mambo mengine. Kinyume na hapo watazidi kulaumu tu. Hata hawa wabunge wangekuwa wanapata mishahara tu bado sio nyingi kivile kwa sababu ya wahitaji wengi walio nao. Wahadhiri wajiongeze kwasababu pia wana faida kubwa ya vyuo vingi kuwa mijini.
GPA kubwa vs package ndogo: utapata nini? Plus ugumu wa kazi yenyewe.
Yes na ukilinganisha na mwalimu aliyepo sekondari afadhali mara 100 maana kama mtu unavuja jasho hivyo aisee ni hatari!GPA kubwa vs package ndogo: utapata nini? Plus ugumu wa kazi yenyewe.
Maslahi vyuo vikuu haivutii kabisa ukilinganisha na muda, nguvu ana akili inayohitajika.Yes na ukilinganisha na mwalimu aliyepo sekondari afadhali mara 100 maana kama mtu unavuja jasho hivyo aisee ni hatari!
Nasikia PhD anakula 3.4M gross!!
Tutachukua hata wa Uganda huko shida academicians wanatakaga kuonekana spesho sana wakati ni ualimu tu kama mwalimu wa darasa la SITA B kama wameipenda kazi wafanye maswala sijui package waje tukomae kitaa waone package za huku [emoji3] alafu dunia linavyozidi kwenda kwenye Artificial intelligence Moja ya taaluma rahisi kunifanyia replacement ni hiyo kufundisha [emoji23][emoji23][emoji23]Basi re-advertisement zitaendelea kuwepo. Re-advertisement kila mar ni alarm. Ni ujumbe wa kimya kimya ambao bahati mbaya sio kila mtu/mwajiri naweza kung'amua.
Kalimeni vitunguuYes na ukilinganisha na mwalimu aliyepo sekondari afadhali mara 100 maana kama mtu unavuja jasho hivyo aisee ni hatari!
Nasikia PhD anakula 3.4M gross!!
Si ndio maana hawaombi.Kalimeni vitunguu
Na hizo ndio Colleges dume sasa hasa hizo mbili za mwishoVijana wengi wanaosoma hizo kozi na wanajua presentations Hawakazi kwenye masomo chuoni. Wanakula bata tu mwisho wa siku hawafikishi gpa 3.8
Gpa kubwa zimebaki udbs , conas na coet tu
So far...Panelist wanahusika na shortlisting?
Hiyo linguistics usiiguse Hilo ni balaa lingine ndiyo maana hata maprof/doctors/ masters graduates ni wachache sn. Na kwa sasa hata enrolment ya undergraduate imekuwa inapungua mwaka hadi mwaka. Course hiyo haina Cha mzungu Wala Mwaafrika ukicheza unakamatwa at any time. It's a course for few individuals. Huko nyuma sheria ndiyo ilikuwa hivyo wachache walibahatika ila kwa sasa fani hii nayo imevamiwa, watu wanasoma kwa wingi. But all in all law is above the law. Ukijua hii kitu vizuri unakuwa huru Duniani, ni zaidi ya kuwa baunsa.Sio tuwaandae vizuri zaidi vijana? Hivi hata course za kiswahili, linguistics, journalism siku hizi zinakosa wataalam? Nimeshangaa!
Linguistics ina ugumu gani mzee?Hiyo linguistics usiiguse Hilo ni balaa lingine ndiyo maana hata maprof/doctors/ masters graduates ni wachache sn. Na kwa sasa hata enrolment ya undergraduate imekuwa inapungua mwaka hadi mwaka. Course hiyo haina Cha mzungu Wala Mwaafrika ukicheza unakamatwa at any time. It's a course for few individuals. Huko nyuma sheria ndiyo ilikuwa hivyo wachache walibahatika ila kwa sasa fani hii nayo imevamiwa, watu wanasoma kwa wingi. But all in all law is above the law. Ukijua hii kitu vizuri unakuwa huru Duniani, ni zaidi ya kuwa baunsa.
Huu utaratibu huwa unanishangaza sanaWatu wamemaliza zamani wamedili na mishe zingine kupewa maswali ya darasani tena inakuwa ngumu kwao kukumbuka