Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Sikiliza wewe usitake kutuzingua...

Soko ni bidhaa yako tu..

Kariakoo maduka ya nguo kibao, hapa shati sh. 20,000 lkn duka la pili shati sh. 50,000. Na biashara inafanyika.

Mbona hamna longolongo???
Hao mabongo movie ni waganga njaa tu wanashindwa kufanya kazi ikaonekana wanaanza majungu ya kilumumba
 
Upuuz mkubwa, katik zam hiz kuzuia mov za nje kisa kkuza bongo movie, maana ya globalization haipo. Tunapoelekea watazuia na mpira wa nje ili kkuza soka LA bongo. Ushaur tuzuie na BBC, DW, BNC, na zinginezo ili kkuza Uhuru wa habari TZ pia
Wafunge private tv zote ili tuitazame tbc
 
kwani ni kosa mtu akikuomba umtafsirie kazi yake embu watuondokee walikubali kubebwa na akili za bashite watajutraaa
 
Sikiliza wewe usitake kutuzingua...

Soko ni bidhaa yako tu..

Kariakoo maduka ya nguo kibao, hapa shati sh. 20,000 lkn duka la pili shati sh. 50,000. Na biashara inafanyika.

Mbona hamna longolongo???
Movie sio mashati kuna haki za msanii n.k mashati hawana copyright
 
Upuuz mkubwa, katik zam hiz kuzuia mov za nje kisa kkuza bongo movie, maana ya globalization haipo. Tunapoelekea watazuia na mpira wa nje ili kkuza soka LA bongo. Ushaur tuzuie na BBC, DW, BNC, na zinginezo ili kkuza Uhuru wa habari TZ pia
Wanatakiwa walipe kodi
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Haya maigizo kuna jamaa pale ubungo huwa ana kilaptop anawajazia kwenye flash zao madereva nasikia wengine wanalipwa,hakuna kero kama hii ya a an safari Inaboa
 
Sasa hivi nipo home najichekia AMC MOVIES picha zilizokwenda shule
 
Tatizo ni shule mkuu.
 
On what ground sidhani kama watakuwa na locust moreover sioni violation ya sheria unless wenye movie hizo za nje washitaki
 
wapuuzi. Mbona wao wana download tu freely nyimbo za kina drake hawazilipii? Mbona wanachezesha soundtrack nyimbo za watu hawazilipii katika movie zao.? Na wao washtakiwe kwa kutumia Mali ya mtu bila idhini? Hollywood kila nyimbo inayotumika ktk movie au series zao wanalipia. Wapuuzi bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…