Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Jamani waelezeni ukweli hawa bongo movie.

"BONGO MOVIE EEEH, TAFUTENI KAZI NYINGINE, HIYO YA FILAMU IMEBUMA"..
Wakaaanze kucheza ngoma pale lumumba kuwafurahisha vigogo wa chama
 
Waaache usenge bhana wasituharibie starehe zetu aisee,sasa wanatupangia na pesa zetu au?
Wakati mr X huwa anasema hapangiwi na sisi pia hatutaki kupangiwa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Wamuache DJ murph apige kazi kwani ameanza hiyo kazi mda mrefu kabla hata bongo movie haijaanza
 
Shda hawajui wanakosea wap alafu wanazidi kutukasirisha maboss wao (wanunuzi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…