Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Kujipanga ni pamoja na kuwa na soko la haki
 
Waache njaa wanashindwa kufanya kazi nzuri zenye ubunifu wanahangaika na watu wanaotafuta ridhiki mara walalamikie wamachinga. BONGO MOVE NA BADO MPAKA MPATE AKILI .....USAWA HU HABEBWI MTU hakuna cha mutoto ya ng'ombe wala ndama
Lazima walipe kodi
 
hawa wanatakq usawa gani shenzi kabisa yusuph Mlela anaweza cheza scene ikahit kama ji chang-wok au wanachanganyikiwa mbuzi hizi zirudi ndani bashite kapandikiz ujinga..alaf hawajui hata wakisipo tafairi kina DJ Murphy matukio tutayafuatilia kuliko mwanzo wanawashwa pyumbu
 
Amesata huyo yani.tangazo dar au nchi zima movie za nje azitakiwi maana silewi.maana huku kwetu nje ya dar tunakodisha kununua. vibanda kibao
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Me huwa napanda Ktk mabasi ni bwiii.likisima sehemu ya Kila kuchimba dawa naongeza ili niangalie tu
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Hakuna jambo linanikera kama hili,alafu wanafungulia sauti kubwa,wanashindwa kuelewa kuwa si kila abiria anapenda hayo mashudu,alafu wakimaliza hapo wanaanza kupiga nyimbo za msondo afu zinafuatana kama nane hivi
 
Ktk moja ya interviews irene Uwoya aliulizwa
"Kwann kuna kipinDi hapa katikati Bongo movies km mlisimama hv ktk utoaji wa Filamu zenu??
Uwoya; Kuna s' bu nyingi, ila kubwa ni kwmb kulikuwepo na hali ya Hofu kwa Wasanii wengi wa tasnia ya uigizaji kutokana ba kuwepo kwa Vifo vya Ghafla,.Na imechangia Sana ukimya huo"..
Me nikabk najIsemea,CreDits zngne wanazopewa ZINAWAJAza vichwa tu, Karne ya 21 Bdo unafanya vtu ambvyo ht mtoto wa miaka 6/7 anaelewa mwisho wa movie utakuajE...
ubunifu-Bashite
Kujituma-Bashite
Uhalisia-Bashite
ShiDa sana Aseeh
 
Hakuna jambo linanikera kama hili,alafu wanafungulia sauti kubwa,wanashindwa kuelewa kuwa si kila abiria anapenda hayo mashudu,alafu wakimaliza hapo wanaanza kupiga nyimbo za msondo afu zinafuatana kama nane hivi

Katika kero yangu kubwa kwenye mabasi ni yale ma-tv yao hakika yananikera na utadhani wamerogwa maigizo ulioyaona Dar Lux utayakuta Shabiby,jana nimeamua kupanda Sai baba toka Dar–Sumbawanga kwa kua nilijua hawana tv wala redio ingawa scania imechoka ila nilikua na amani kwa kua kero ya bongo movie nilijua haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…