Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

hawa wanatakq usawa gani shenzi kabisa yusuph Mlela anaweza cheza scene ikahit kama ji chang-wok au wanachanganyikiwa mbuzi hizi zirudi ndani bashite kapandikiz ujinga..alaf hawajui hata wakisipo tafairi kina DJ Murphy matukio tutayafuatilia kuliko mwanzo wanawashwa pyumbu
Walipe kodi tu
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Du kweli! Inakerrrra
 
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.

Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".

Bongo movies wameamua.
HATUNUNUI NG'OO ... TUNATA ZA NJE ..
 
Kwani akina Mlela wanapoweka maneno ya kiingereza, yayotafasili kiswahili kilichotumika kwenye movie zao huwa wanataka nini ?
Waache ujinga,anayetakiwa kumshitaki huyo DJ ni Wamiliki wa hizo movie zinazotafasiliwa siyo akina Mlela na wenzake.
Yaani mkuu hawa bongo movie wanakera kupitiliza. Wamiliki wa filamu zinazotafsiriwa wamekaa kimya ila wao sijajua wataanzia wapi kuhusu hiyo kesi? Kimsingi elimu hakuna huko kwenye hiyo industry wala committment ya kufanya kazi kwa ubunifu.
 
Back
Top Bottom