Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Walipe kodi tu
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Du kweli! Inakerrrra
 
HATUNUNUI NG'OO ... TUNATA ZA NJE ..
 
Kwani akina Mlela wanapoweka maneno ya kiingereza, yayotafasili kiswahili kilichotumika kwenye movie zao huwa wanataka nini ?
Waache ujinga,anayetakiwa kumshitaki huyo DJ ni Wamiliki wa hizo movie zinazotafasiliwa siyo akina Mlela na wenzake.
Yaani mkuu hawa bongo movie wanakera kupitiliza. Wamiliki wa filamu zinazotafsiriwa wamekaa kimya ila wao sijajua wataanzia wapi kuhusu hiyo kesi? Kimsingi elimu hakuna huko kwenye hiyo industry wala committment ya kufanya kazi kwa ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…