Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Hahaa aisee ni kichekesho cha mwaka. Bongo movie wamejiharibia wenyewe hasa baada ya kuikurupukia insta kwa pupa,wana majibu ya dharau sana mitandaoni,nyodo nyingi,kujionesha wana hela sana bila kusahau movie zao chini ya kiwango wakwendree tu.
Ttzo anayewaahauri nae ni Zero brain.
Zero on paper translates zero on speaking, thinking, etc.
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..bora umesema mkuu
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
 
Naona hawa bongo movie akili zao zimehamia kwenye makalio..
 
Wanakeraga kinoma.mi huwa nawakomalia wapunguze sauti.alafu selection yao ua muvi na muziki ni mbovu mno.alafu sijui wote wanatumia CD moja
 
Aliewaambia mpande jukwaani 2015 kunadi sera za ccm ndio mchawi wenu..isomeni namba na mtaacha kupaka poda wanaume mnashinda saluni..poleni sana lakini hakuna namna..isomeni namba tu..bye bongo muvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…