Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo muvi wanangalia mabeki tatu

Haiwezekani mimi engineer mzima nikakaa chini naangalia upuuzi wa bongo muvi.
 
Kwani hizi tamthilia ITV,STAR TV NA CHANNEL TEN NA KWENYE STARTIME zenyewe zikoje zinafuata sheria au tatizo wamekariri kuwa tako kubwa nalo ni sehemu ya kuigiza.

Mwaka huu na inayokuja watachonga sana viazi.
 
Waache upumbavu mbona wakati kanumba yupo mark alikuwepo na bado muvi za bongo ziliuza.
 
Na wao wafute subtitles ktk maigizo yao maana km mtu kutafsri ni kuua soko na wao washtakiwe kwa kingereza kibovu..jipimeni mctfte mchawi nani
 
hahahaha kweli mbaazi ukikauka usingizia jua................Leo ndio mmemuona huyo jamaa mbona Marehem Rufufu alianza kitambo hamkumshtaki au kwa kuwa kipindi hicho biashara ilikuwa inawalipa? Hapo toeni vitu vya uhakika ndo suluhisho la kudumu
 
Wajaribu kutoa movie zenye cd moja tu.. Waachane na mpango wao wa 1&2 inaweza kurudisha morali ya watazamaji wao....
 
Huwa najiuliza hivi bongo movie nani kati yao hata anasifa za kusimama ktk media na kulia lia?

upuuzi wa kiwango cha lami unapotaka kumshtaki mtu nawakati ww siyo mmiliki

Mlela na wenzie ni wapuuzi wasiokuwa na akili hata kidogo ujinga ujinga tu ndo unaowasumbua na kukomaa kabla ya wakati

wapuuzi mno! tena vihiyo vya hali ya juu mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…