Na wewe ni muigizaji 😋 basi nyie ni watu wa hovyo Sana Bora mkalime mahindi kuliko huo utani mnaofanya🤪Usifananishe developed country and developing country.Usikae unalaumu watu,je wewe umetoa mchango gan kwenye tasnia?
Sina hata iko kipaji cha kuigiza nimetoa tu maoni yanguNa wewe ni muigizaji [emoji39] basi nyie ni watu wa hovyo Sana Bora mkalime mahindi kuliko huo utani mnaofanya[emoji2957]
Ooh kumbe, okey Sawa ... hao ndugu zako wanatania, mbna kanumba alijitahd kupindua meza ?? Mbna Diamond kaipaisha bongo fleva , bongo movie kule hakuna wapambanaji Zaid ya wadangaji na akina super Mario wazee wa kujilamba midomo , kupaka piko na kutafta majimama ya kuwalea ...Sina hata iko kipaji cha kuigiza nimetoa tu maoni yangu
Soko lao litakuwa mashakani,
Embu angalia ile Movie ya The Dance aliyoigiza Irene Uwoya, Idea ilikuwa nzuri lakini Uwoya ile movie aliyumba hasa kwenye kipengele cha mawasiliano kwa kutumia kingereza
Wapi naweza kuipata kuiona hiyo movie?
Wenzetu tukio likitokea haraka wanakaa.na kutengeneza movie lakini sisi story zetu ni zilezile kqma sio mapenzi ni uchawi matukio mengine hatuyaoniWewe mpaka sasa hakuna aliyeigiza filamu kisiasa, na hii ni kutokana hawana Idea na hayo mambo.
Hakuan filamu za migomo na maandamano,
Hakuna filamu za chuoni zaidi ya kudhani kuwa chuoni ni sehemu ya starehe kazi kuvaa nguo za uchi, ajabu sana hii
mbona nyalile yule aliegiza Gods must be crazy hana elimu yoyote na script alipewa na hollywood,,,,,Acheni ufala na vielimu vyenu uchwaraa hivyo muanze kuzalau walioishia kidato cha nneMtoa mada umeongea Jambo la mbolea Sana , nilifatilia CV ya Michael Scofield kwenye series ya Prison Break ,aisee jamaa mpak ana master's ya uigizaji , yaani kiufupi Tu Holywood huwez kupewa script kama shule ni zero kichwani.
Bongo movie hawana jipya Kwa sababu ni poor in education , hebu niambie kama kuna kipande cha kuiendesha ndege au meli nani atacheza ?.? Hata masuala ya ku-crack code za Mawasiliano hcho kipengele Nani atacheza ?? Wanabaki Tu na vitu normal kama Mapenzi , kuendesha vigali basi., na kufunguliana mageti huku wakiwaza
Wenzetu tukio likitokea haraka wanakaa.na kutengeneza movie lakini sisi story zetu ni zilezile kqma sio mapenzi ni uchawi matukio mengine hatuyaoni
Acheni ujinga watanzania wengi mnakawaida ya kutopenda vya kwenu inawezekana kweli kuna mapungufu kwenye bongo movie lakini si kwa ukubwa uo mnaoongela hapa,,,,,
Mtoa mada unaponda bongo movie alfu unakuja kusifia movie ya kihindi wewe ndo Bogaz kabisa wahindi wale mtu anapigwa ngumi anarushwa mita50 had anabomoa ukuta ule ndo uhalisia,,,[emoji15]
Mkuu kiukweli kabisa film za mapenzi zinaelimisha sana na kitu kingine hujui nikwamba tuanaangalia tunaigiza maisha halisi ya waafrika na Tamaduni zao huwezi ukanambia nikaigize nimeshika mitutu ya bunduki wakati nchi yangu ni ya amani, mkuu right kungekuwa na kitufe cha kurekodi sauti hapa ningefunguka vziriShida wote wanataka kuigiza juu ya mapenzi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweeeehHimaya yangu nimehangaika nayo miaka nenda Rudi halafu From no where tu uje kuniaribia, lazima nikuroge ikiwezekana kukuua kabisa, hiyo ndo slogan ya bongo movie
Soko lenu mnaangalia wapi, mbona watu wa comedy kama mizengwe wanafanya vizuri, tatizo lenu mkiona mwanamke ana mvuto mnalazimisha aigize hata kama hana uwezo.Mkuu kutengeneza filamu sio jambo rahisi, bongo budget nalo ni tatizo sugu, shooting za open space nalo ni shida sana
Mkuu agiza bia naja kulipambona nyalile yule aliegiza Gods must be crazy hana elimu yoyote na script alipewa na hollywood,,,,,Acheni ufala na vielimu vyenu uchwaraa hivyo muanze kuzalau walioishia kidato cha nne
Soko lenu mnaangalia wapi, mbona watu wa comedy kama mizengwe wanafanya vizuri, tatizo lenu mkiona mwanamke ana mvuto mnalazimisha aigize hata kama hana uwezo.
Chuo cha sanaa bagamoyo kuna watu waliofundishwa sanaa ya uigizaji vizuri ila mnawaacha mnakimbilia vilaza matokeo yake filamu zinakosa uhalisia