Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Master J hajui mziki? Alafu acha kujitia unajiharibia namaanisha kujitia ujuaji
Hapa tunamzungumzia Shilole kuwa jaji kwenye shindano la kusaka vipaji vya uimbaji, mbona unahaha? Hoja yangu ni Shilole hana sifa za kuwa hapo.

Ndio tatizo lenu watu wenye uelewa mdogo, mtu akiwaeleza mapungufu mnamuona mjuaji.
 
Nimekuuliza Master Master J alitengeneza mapin kibao hajui mziki?
Waambie waache mizaha, watafute watu wanaoujua muziki ndio wawe majaji.
Soma comment yako hio, ndio maana nakwambia kichwani kwako kuna kitu hakijakaa sawa Juzi haukulia kweli wewe? Mlipigwa mkono
 
Na wewe unakosa vipindi vya kuangalia mpaka ukaangalie BSS? Si bora ungeangalia hata marudio ya mpira wa Makolo FC Vs Utopolo FC? Au TOM & JERRY?
 
PASI NA SHAKA WEWE UTAKUWA NI SHILOLE.

KATIKA UZI HUU NI WEWE PEKE YAKO NDIO HUONI KOSA KWA KILICHOFANYIKA KWENYE HIYO VIDEO.

DADA SHISHI ENDELEA KUUZA UBWABWA UMAARUFU WA KINGESE WA KUDHALILISHA WENZIO ACHANA NAO.
Daa nimecheka sana aisee ,eti yeye ndo atakuwa shilole
 
Nimekuuliza Master Master J alitengeneza mapin kibao hajui mziki?
Soma comment yako hio, ndio maana nakwambia kichwani kwako kuna kitu hakijakaa sawa Juzi haukulia kweli wewe? Mlipigwa mkono
Wewe sidhani kama una shida kichwani, ila naona kabisa una tatizo la uelewa. Na kama hujanielewa hadi sasa basi huwezi kunielewa mpaka ujielewe mwenyewe.
 
Kwan wamelazimishwa kushiriki
Lakin pia ni kosa sana kua na kipaji na ujui ni wap kipaji chako kinaweza onekana
 
Eehe kumbavu Sana kumbe shilole Ni mpumbavu HV shemzi sna nimechukia sna natamani nimnaze makofi
 
Ndio Ndio maana uchebe alikuwa anamnaza makofi
 
Ime niumiza sana hii mm napenda sana kwenda kula kwenye mgahawa wake,lakini kwa hili basi nimejisikia vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…