dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ndio mmkome kwenda kula chakula kwakeBaada ya kumcheka kwanza.
At least Master J alionyesha utu lakini athari ilishatokea.
Kati ya wote pale, Shilole ndio anapaswa kujua hasa maana ya kunuka jasho sababu ya dhiki maana kakulia kwenye ufukara, lakini yeye ndie amekuwa wakumdhalilisha mwanamke mwenzie.
Nimemchukia na kumdharau Shilole kwa hili.
Kwani Kuna Sehem wamesema wamelazimishwa kushiriki? Hata kama alilazimishwa ndo umdhalilishe in public ?Kwan wamelazimishwa kushiriki
Lakin pia ni kosa sana kua na kipaji na ujui ni wap kipaji chako kinaweza onekana
Wee shilole uwe jaji kwa mizuki upi unaoujua dadaIla ulistahiri wewe kua Jaji? Hilo Madam Ritha alishalizungumzia Clouds kipindi cha Leo Tena, people are talking Shilole hivi Shilole vile Mimi sioni kibaya yeye kua Jaji, as long as anafuata JD yake inavyosema
Eti rita nae jaji ebu imagenKiukweli nilishangaa sana kumuona Shilole kwenye jopo la majaji,nikajiuliza kwa muziki na uimbaji wa Shilole anaenda kujaji nini pale?...Ila baadae nikakumbuka mwenye shindano ni Ritha,hajui mziki ila amelazimisha na yeye awe jaji.Upuuzi juu ya upuuzi.
Wewe shilole ushinde tuzo kwa mziki upi?Nyinyi ndio mnavumisha ujinga hi o nekane kipindi cha hivyo, I already say yaweza kua hata hakua ananuka kwapa Ila nyinyi wanazengo kwa kuvumisha Mambo tena mnapenda yale Mambo machafu machafu ndio mnayavumisha mngesikia kashinda tunzo sehemu fulani hakuna ambae angesema kwanza mngefunikafunika tu watu wasijue au mngeanza kwa kuponda kashindaje huyu hasitahiri alistahiri fulani, stop
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tuone SSM ndiyo wanawataka hao watu.Yaan Shilole awe mbunge V/maalumu? Ngachokaaa
Kumbe huyu ni shilole? Ndio maana amekomaa kujisafishaWewe shilole ushinde tuzo kwa mziki upi?
bila shaka ni huu ni udhalalishajiEh huo ni udhalilishaji angemnong'oneza
Kwani nasema uwongo Ndugu zangu [emoji848][emoji847]wacha weee [emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ni kweli, wala hujadanganyaKwani nasema uwongo Ndugu zangu [emoji848][emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Shilole anajasho baya sana nilishangaa kuona anamwambia vile yule jamaa wakati yeye mwenyewe ana tatizo hilohilo.Anatema ng’onda ile kishenz nliendaga shishi fud kule ada estate na mwanangu kabla hawajamvunjia kmmk aisee acha kabisa yan na ule mwili anavuja jaso lina nuka kama gari la mavi lile la manispaa ya kinondoni
Huyo KazimiriNani Mwanaume ?)