dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ndio mmkome kwenda kula chakula kwakeBaada ya kumcheka kwanza.
At least Master J alionyesha utu lakini athari ilishatokea.
Kati ya wote pale, Shilole ndio anapaswa kujua hasa maana ya kunuka jasho sababu ya dhiki maana kakulia kwenye ufukara, lakini yeye ndie amekuwa wakumdhalilisha mwanamke mwenzie.
Nimemchukia na kumdharau Shilole kwa hili.