Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Hivi vitu mnapata muda wa kuangalia?
 
Hawa wanaoangalia haya makitu ndiyo wapuuzi zaidi. Unakuta dume zima limekaa kwenye TV linakenua meno kuangalia.
Ungetuliza fuvu lako na kuangalia hiyo clip vizuri ungegundua ni clip ya tiktok.

Na hata ikitokea watu (wanaume) wakaangalia kwenye tv zao, huna haki ya kupangia mtu cha kutazama.

Hoja hapa ni udhalilishaji unaofanywa na sio nani anaangalia nini. Ila kama ilivyo desturi, penye kila halaiki hapakosekani wajuaji wanaokwenda nje ya mada.
 
Yupo sahihi wapi? Ni lipunguani tu linaloleta ujuaji pasipohitajika ujuaji.

Ukute ndio li Shilole lenyewe lishavimbiwa makande yake yaliyobakia kwenye banda lake. Linajambiana na kuandika upuuzi
Ok. Upo sahihi kabisa
 
Bora umeliona hili ndgu,kipindi chenyew ni cha mchongo bado ni utapeli mtupu ndomaana hata limepoteza mvuto
 
Fuvu nimetuliza kabisa mbona. Na sijampangia mtu cha kuangalia ila nimeshangaa inakuwaje unaunga mkono haya mambo ya udhalillishaji! Kuangalia kwako ndiyo kunawafanya wanaendesha kipindi. Ukisusa watakosa audience na watafunga kipindi. Hiki ni kitu ambacho naona Bongo wengi tunashindwa kuona. Dawa ya kipindi chenye maudhui mabaya kiwe ni kwenye mtandao, redio, au TV ni kukisusia. La, ukiamua kuangalia basi usilalamike.
 
Shilole hana sifa yoyote yakuweza kuwa Judge, ukute yeye ndo katoa pesa kwa BSS kusudi hauze sura kule kusudi akuze brand yake ya Msosi...mjini apa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…