toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
😂😂😂😂😂Shilole huyo mkuu huoni avatar ya ubonge hapo🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Shilole huyo mkuu huoni avatar ya ubonge hapo🤣🤣
Formal Interviews lazima ziwe na Guided QuestionsItakua Interview ya U- Barmed!!!!
Unajiheshimu wapi kenge wewe umejuaje Mimi zuzuAcha ujinga we zuzu Mimi sio unavyosema, jiheshimu
Hivi vitu mnapata muda wa kuangalia?Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
Hawa wanaoangalia haya makitu ndiyo wapuuzi zaidi. Unakuta dume zima limekaa kwenye TV linakenua meno kuangalia.Ni upuuzi upuuzi tu.
Ungetuliza fuvu lako na kuangalia hiyo clip vizuri ungegundua ni clip ya tiktok.Hawa wanaoangalia haya makitu ndiyo wapuuzi zaidi. Unakuta dume zima limekaa kwenye TV linakenua meno kuangalia.
Ok. Upo sahihi kabisa
Tulia Zuzu,Unajiheshimu wapi kenge wewe umejuaje Mimi zuzu
Bora umeliona hili ndgu,kipindi chenyew ni cha mchongo bado ni utapeli mtupu ndomaana hata limepoteza mvutoHiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi cha kumdhalilisha mwanamke mwenzie kuwa ananuka kwapa kwenye national tv?
Dada wa watu mpaka kakosa pozi na kumuomba Shilole aache kumdhalilisha lakini bado linaendelea kubwatuka tu. Shilole ana kipaji gani kwanza mpaka afanywe kuwa judge?
Kwanini wasikae chini wakaangalia kina Simon Cowell kama huwa wanadhalilisha washiriki kwa umaskini wao?
Salama na Master J wanaamini kudhalilisha washiriki ndio kuwa judge bora.
Acheni huu udhalilishaji
Fuvu nimetuliza kabisa mbona. Na sijampangia mtu cha kuangalia ila nimeshangaa inakuwaje unaunga mkono haya mambo ya udhalillishaji! Kuangalia kwako ndiyo kunawafanya wanaendesha kipindi. Ukisusa watakosa audience na watafunga kipindi. Hiki ni kitu ambacho naona Bongo wengi tunashindwa kuona. Dawa ya kipindi chenye maudhui mabaya kiwe ni kwenye mtandao, redio, au TV ni kukisusia. La, ukiamua kuangalia basi usilalamike.Ungetuliza fuvu lako na kuangalia hiyo clip vizuri ungegundua ni clip ya tiktok.
Na hata ikitokea watu (wanaume) wakaangalia kwenye tv zao, huna haki ya kupangia mtu cha kutazama.
Hoja hapa ni udhalilishaji unaofanywa na sio nani anaangalia nini. Ila kama ilivyo desturi, penye kila halaiki hapakosekani wajuaji wanaokwenda nje ya mada.
Sawa bonge jitahidi kufanya mazoeziTulia Zuzu,
Hamna shida unanipa nani dada yako nimpunguzie uzito ?)Sawa bonge jitahidi kufanya mazoezi
Kapunguze kwa kibonge mwenzio shishiHamna shida unanipa nani dada yako nimpunguzie uzito ?)
Kakuchukulia Bwana wako ?)Shilole hana sifa yoyote yakuweza kuwa Judge, ukute yeye ndo katoa pesa kwa BSS kusudi hauze sura kule kusudi akuze brand yake ya Msosi...mjini apa...