Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

Kuna kituo cha TV kinachoitwa Startimes au ni huku porini nakoishi kunanizeesha?
Hio ni kampuni ya vingambuzi inaitwa hivyo Ila pia ni kuna kituo cha television St Swahili, St Mambo, St Bongo, St Kungfu, St Drama, nk humo utakutana package za vifurushi mbalimbali pindi ukinunua kingambuzi cha dish au antenna, kuna vifurushi vya Uhuru, Mambo na Nyota
Mfano kwa antenna vifurushi hivi hapa
 
Fafanua 'Babu Njunju' umeshamaliza kulia lakini?
Nlikua namnjunjumila mtu ana kario gumu kweri laha nimepata kwa taaabu. Sis wabeba tofar tunakula wa taip zetu km hyu kario gum

Kuna mdau wangu wa nguvu alinambia huwa wanatengeneza visa kwa kushirikiana na washiriki baadhi. Ni mdau wa media house na alikua moja ya production crew ya kipindi way back.
 
Huyo sio mwanamke ni mwanaume huyo.
 
" ni hali flani ya kimaisha" daa dada amenigusa sana, nipo tayari kumpatia huyu dada japo Tsh 30,000/= seriously anaeweza kua kumpata
 
Ana jasho baya sana Shilole labda liwe limekata siku hizi maana kitambo sijakutana naye.
Anatema ng’onda ile kishenz nliendaga shishi fud kule ada estate na mwanangu kabla hawajamvunjia kmmk aisee acha kabisa yan na ule mwili anavuja jaso lina nuka kama gari la mavi lile la manispaa ya kinondoni
 
Kuna mdau wangu wa nguvu alinambia huwa wanatengeneza visa kwa kushirikiana na washiriki baadhi. Ni mdau wa media house na alikua moja ya production crew ya kipindi way back.
Mda gani huyo aliekusambazia data ?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…