Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani

We mnamdanganya tu, mwisho wa siku atakayeumia ni yeye mwenyewe, we unakataa kutoa maelezo kama ni kosa la uhujumu uchumi ujue hapati bondi mpaka awe amekamilisha mahojiano!!
 
We mnamdanganya tu, mwisho wa siku atakayeumia ni yeye mwenyewe, we unakataa kutoa maelezo kama ni kosa la uhujumu uchumi ujue hapati bondi mpaka awe amekamilisha mahojiano!!
Mahojiano ndio huamua kujua mtu ana hatia au la au aweza kuwa shahidi au la apelekwe mahakamani au la sasa yeye kukomaa kuwa atatoa mahakamani ni mhalifu mtarajiwa huyo
 
Mahojiano ndio huamua kujua mtu ana hatia au la au aweza kuwa shahidi au la apelekwe mahakamani au la sasa yeye kukomaa kuwa atatoa mahakamani ni mhalifu mtarajiwa huyo
Kabisa anajua makosa yake ana buy time apate kauchochoro
 
Ni haki yake kiesheria polisi watampeleka mahakamani na ushahidi aende akajitetee huko
 
kwamba hiyo kiburi ndio anaona ni ya maana sana,

hata iwe namna gani, korokoroni atalala, na mahakani atakwenda vile vile bila mbambamba yoyote 🐒
Hata wewe unaweza kulala korokoroni...wakati wowote siku yoyote

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…