Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

Chadema wamebugi wenyewe,maza alikua fair,sasa hivi wameanza eti 'samia must go'..hata ungekua wewe unaona watu wanapanga kupeleka moto mpaka uachie madaraka utafanyaje!?
 
Aisee.
 
Kesi itaenda mahakamani ni ukweli utajulikana.
 
Ila itafikia hatua watu watatembea na pinde na mishale ya sumu, mapanga n.k maana hii hali inatisha
Halafu mtu akichomekwa mshale kwisha habari . Nimewaza tu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…