PreGE2025 Boniphace Jacob (Boni Yai) ajiapiza kusema yote kesho Jumapili Mei 18

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndumuz

Kila mtu msemaji
 
Yote yapi??
 
Boni Yai ni miongoni mwa watu ambao briking nyuzi zake huwaga zina mshindo flan .ngoja tuone na tusikie yatakayojiri.Ile kesi ni lini jamani tukumbushane na masharti ya uhudhuriaji na ile mitego
 
Nikikumbuka kipindi kile cha uchaguzi ndani ya CDM jinsi ambavyo mtoa mada na wapiga makofi wenzake walivokuwa wakimpigia shangwe ndugu Mbowe kwa mbwembwe halafu bado wakapigwa woooooteee na wapiga makofi wake basi ninakua mpoleeeee kwa kubaki na kicheko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…