PreGE2025 Boniphace Jacob (Boni Yai) ajiapiza kusema yote kesho Jumapili Mei 18

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bonge Yai Nyanya hana kipya, wala hana lolote ndani hata nje ya CHADEMA, afuge kuku tu azidi kuwa bonge Nyanya
 
Yai nae akihama kunauwezekano Mbowe anasuka chama mahali...
Aende ata Kwa mwanawe pale ACT akapewe chama(uenyekiti)
Waiinue ACT huko Chadema waropokaji wameteka chama mipango finyu maneno meeengi.
 
Askofu Kassala:wanaoondoka waondoke kwa Amani na waendako waende kwa Amani. Ni uhuru wao
tatizo ni wanaobaki kukosa utulivu kabisa gentleman, na kuishia kuropoka tu tena kwa hasira, uchungu na ghadhabu za kiwango cha juu sana dhidi ya hao wangwana wanapotumia uhuru na haki zao za kikatiaba kujiengua chadema na kuamua mustakabali wa siasa zao za baadae
 
Kwenye hiyo press akiwakana Wajinga 55 na kusema yeye hatoki CHADEMA huoni kuwa utaumia sana?
 
Ila kumbuka jamaa alikuwa mfuasi mkubwa wa Mbowe.

Tusubiri tuone.
Hakuna cha tusubiri tuone.

Tangazo linasema presser iko CHADEMA Headquarters. Thats a dead give away, ishara ya wazi, kwamba hajitoi.

Huwezi kujitoa chama umesimama mbele ya ukuta una ma chata ya ku advertise chama. Utakuwa chizi.

Huwezi kujitoa chamani huku unategemea chama kikufadhili microphone na chumba cha ukumbi wa kutangaza unajitoa. Yani hujiwezi bila chama.
 
Hahaha πŸ˜‚πŸ€£
 
Chadema ni chama cha wasomi ambao wapo mbele ya muda usitegemee chadema kufa
Chama cha siasa, mtaji wake ni WATU! Chama cha NCCR cha Marando, kilikosa nguvu, kwa jeuri hii hii, ya kulingia USOMI!
Endeleeni kuringia USOMI!
 
Kimkakati G55 wengine lazima wabaki ili wakusanye taarifa kwenye vikao
Wakusanya taarifa wako tangu CHADEMA iundwe na wameshindwa kuimaliza. Hakuna jambo jipya au siri ambayo CHADEMA inajadili kwenye vikao zaidi ya shida za wananchi na ufisadi wa CCM na serikali yake. Ujinga wa CCM ni kudhani wanaweza ku-ignore uwajibikaji kwa wananchi na ku-deal na CHADEMA na wakabaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…