MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Ninachompendea Dr. Harari ni jmkwamba, anafumbua macho kwenye mengi mapya na hata akiandika kuhusu mambo ambayo tayari unayajua, jinsi anavyoyaandika na kuyaunganisha, anavyoweka pamoja ushahidi kutoka nyanja tofautibza sayansi, hiatoria, baiolojia, sosholojia inapendeza sana.
Unapenda vitu vigumu Kiranga.Confessions of an Economic Hitman by John Perkins.
Ni kweli ni mambo mazito.Unapenda vitu vigumu Kiranga.
Kama sikosei nilisikiliza Interview ya Perkins miaka mitano iliyopita. Sijui kwanini niliona mambo yaliyokuwa yanazungumziwa ni mazito.
Sema kitu Ambition mbona umeweka dots tuu.......
Upo sahihi kabisa.Ni kweli ni mambo mazito.
Lakini dunia nayo inakwenda kwa mambo mazito.
Jamaa kadata si mchezo.
I enjoyed this book thoroughly.
Kuna sehemu wakati anakua huko kwao South Africa aliwaingiza mjini watu kwamba yeye eti ndiye rapper wa Marekani Busta Rhymes.
Yani Trevor Noah na Busta Rhymes sura tofauti, lakini kalazimisha mpaka watu wakakubali yeye ni Busta Rhymes!
Aka rap uongo na kweli, watu wakakubali wamemuona Busta Rhymes kwenye concert.
I hope you'll enjoy the Steinbeck' work.Thanks all for inspiring. Thanks Mwal. CT for the copy. This bored weekend will go smoothly with Steinbeck's East of Eden. View attachment 1277887
Unapenda kusoma eeh ???Thanks all for inspiring. Thanks Mwal. CT for the copy. This bored weekend will go smoothly with Steinbeck's East of Eden. View attachment 1277887
Saana basi mambo ya life haya yanatupeleka kasi muda unakuwa mdogoUnapenda kusoma eeh ???
Rafiki yake ndo aliwandanganya kuwa Trevor Noah ni hypeman wa Busta Rhymes....!
LAW 7 : GET OTHERS TO WORK FOR YOU, BUT ALWAYS TAKE THE CREDIT.
LAW 9: WIN THROUGH YOUR ACTIONS, NEVER THROUGH ARGUMENT.
LAW 15: CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY
LAW 18: DO NOT BUILD FORTLESSES TO PROTECT YOURSELF, ISOLATION IS DANGEROUS.
Richest man in Babelon is my favourite book for now.It consist of many ideas about entrepreneurial,bussiness,investment,trade,account,culture,social and others.Its good for youth and rich people,even for poor it will help you to rise up your profit
Unamsulubisha ipasavyo.“CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY” Nimeipenda hiyo[emoji1]
Thinking Fast And Slow -Daniel KahnemanVizuri sana mkuu ingawa mimi quantum physics sio fani yangu ila najitahidi kuisoma vilivyo... Mkuu wangu
Am Neuroscience expert chief
Hapo kwenye Sapolsky's Behave Book tupo sambamba man. Ila mimi bingwa wa Audiobook.Both Quantum Physics and Neuroscience fascinate me.
Namsoma Sean Caroll katika "The Big Picture:On the Origin of Life, Meaning and the Universe Itself"
Umekisoma "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst" cha Dr. Robert Sapolsky ?
Baada ya kukisoma unajiona kama na wee unataka kucheza na amygdala vile.
Love and death are one thread and the same line viewed from different sides.Vitabu vya lao tzu
Hapo kwenye Tao Te Ching[emoji111][emoji111][emoji111]Tao Te Ching -Lao tze
The cannon- Confucius
Secret doctrine- HPB
Sound of silence- HPB
Human, initiation and solar - Alice Bailey
Invisible helpers -
Morals and dogma of ancient and accepted Scottish rite - Albert pike
The stranger in the mirror - Sydney Sheldon
The zahir - Paulo coelho
Alchemist- Paulo coelho
Manuscript from Ghana - Paulo coelho
Veronica decides to die - Paulo coelho
French connection-
Learning the hard way - Yusuph akilimali
Feel the fear and do it anyway- Susan Jeffers
Feel the fear and beyond - Susan Jeffers
Bhagavag Gita -
Safari ya prosper -
Alfu lela ulela -
Aesop’s fables -
The mystery of human double -
Encyclopedia brittanica-[emoji16][emoji16][emoji16]
Kiu ya haki-
Marx, Engels, Lenin -
The 4 hour workweek -
The richest man in Babylon -
The monk who sold his Ferrari -
The art of not giving a **** -
Fuzzy thinking-
Philosophy na usanifu wa hoja tangu enzi za Plato hadi Nyerere -
Adili na nduguze - shaaban Robert
Nitarudi baadae....
Nshavipitia muda mrefu. Asante mkuuThinking Fast And Slow -Daniel Kahneman
The Brain that Changes Itself -Norman Doidge.
Pitia hivo mkuu.